Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,956
- 7,209
Kongole!Hiyo documentary kama ilikuwa by design a social psychological preparation on what is to come or coincidence that is beyond me.
But either way wazungu kwenye maswala ya national security wanafanya risk assessment kwenye kila kitu wanajua mtu akija kuwavamia ataanza kutwanga wapi (most likely target ni oil reserves) kwa ivyo wana underground reserves za siri kila kona ya nchi. Wanapima chakula wataingiza vipi, morale ya nchi na hatua zipi za kivita zinahitajika etc na kujiandaa.
Sasa pandemic kwao sio kitu kipya washapambana SARS virus for decades wanajua madhara yake na wanaelewa ni influenza like of virus ila wapo wa aina tofouti. Based on previous knowledge njia sahihi ya kupambana na magonjwa kama hayo ni immunisation na wanajua to do that requires tweaking white cells; ndio maana baadhi ya hizo vaccine zinatengenezwa na egg white (ni white cells too).
So what they do in research ni kuweka new virus kweny ‘egg white’ to see how it changes and build on that to make the new vaccine.
Kwenye hiyo documentary if you watch it utaona kipindi icho walikuwa wanatafuta njia rahisi ya ku tweak hizo vaccine even further.
Lakini sio kwamba ilikuwa akitokea new wanaanza upya by then they knew what needs to be done to get the vaccine quickly.
Hizo simulation zingine ni kujua how the virus spread in society na ili wapange mbinu za kupunguza maambukizi.
Mjomba mzungu kajipanga kwa mazingira yao; kule ukisikia katibu mkuu wa wizata (watu wanao ongoza nchi kama UK jua sio mtu tia maji tia maji kabisa) they take security serious.
Yaani mtu aende tamper na source ya kupokea mafuta kama ilivyo Tanzania ina maana it’s easily accessible; dah hiyo sio kashfa ya kufukuza mtu nchi za wenzetu ni serikali kujiuzulu na kuitisha uchaguzi it is as bad as they can get. Kwetu haa ni utani utakaoishia JF sasa ngoja siku mtu alilipue ndio tutaona madhara yake kwenye uchumi.
BEBERUZ wana uwajibikaji siyo wachunga matumbo wetu Africa.
Similarly, huyo asiyefufua ni mchumia tumbo sukuma gang anayetapatapa kutafuta umaarufu.
Kasoma wapi?? Zaidi ya kuangalia conspiracy theories za YouTube??
Everyday is Saturday...............................