TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

naombeni msaada guys, ni vp una-install watsup kwenye pc yako? naombeni at least links za kudownload hiyo app

ingia www.bluestacks.com, fanya kudownload. hiyo ni android emulator itayokufanya kuweza kuinstall apps kibao za droid
 
idoubt kama kuna bluestacks ya linux-based operating system mkuu ila incase kama hamna bora atumie windows emulator kama Wine, ili afanye emulation ya hiyo bluestacks

Wine ina-emulate Bluestacks kwenye Linux?
its a new thing to me..how is that?
 
kwani kuna limited specification katika installation ya iyo bluestack,, mbona kwangu inagoma ...
 
Ndivo ilivo,sababu ile WhatsApp number unayotumia kwenye PC ipo tu virtually so haiwez ku-synchronize contacts kutoka kwenye hiyo SIMCARD wakati haiko physically present kwenye PC.
Only solution ni either KU-ADD hizo contacts manually moja baada ya nyingine au tengeneza Vcf file lenye contacts zote kwa kuzi-export kwenda SD CARD then hilo file lihamashie kwenye computer yako then angalia kwenye hyo emulator yako ya WhatsApp kwenye PC import hilo file lenye contacts.
nitafute kwa number yangu 717957070 natumia bluestacks na imekubali kuimport kontack mpya
 
Hii kitu inakataa kwangu, natumia pc ya samsung n100sp ram ni 2 gb na processor ni 1.6ghz
 
Hii kitu inakataa kwangu, natumia pc ya samsung n100sp ram ni 2 gb na processor ni 1.6ghz

mkuu hata kangu natumia hp ilishadinda muda mrefu tu.. nimeamua kuifutilia mbali!
 
kwani htc yako sio ya android?kama ni ya window jaribu kuingia ovi store na kama ni android sign up gmail then chukua from play store.
 
Jaribu app nyingne inaitwa youwave ...
Sorry kwa kuchelewa kujb
 
Instagram haiitaji hiyo bluestacks unaweza ukaingia directly kupitia web browser yako kama uingiavyo Facebook. Log in to Instagram.com
 
Mkuu nimefanikiwa kuinstall ila nikitaka kulog in inastratch... Sijui tatizo ni nini?
 
ukibofya menu ya simu utaona apps kama kwenye simu ya android. fanya kama unaswipe (shikilia left click kisha move screen kushoto)utaona apps zaidi ikiwemo whatsapp

Samahani mkuu @C6, Baada ya kuidownload haionekani ilipoenda. Nimefuata hayo maelezo lakini haipo.
 
Back
Top Bottom