ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Ya kawaid sana hiyo...
Kwako mkuu
Ya kawaid sana hiyo...
Ni useless kabx mkuu....eti upate app bila net kwa kutumia browser.....xaxa hiyo browser itaifungua kutumia nn.??useless
Ni useless kabx mkuu....eti upate app bila net kwa kutumia browser.....xaxa hiyo browser itaifungua kutumia nn.??
useless
Je kudowload whatsapp kwenye tablet unafanyaje mi inakataa
Ni useless kabx mkuu....eti upate app bila net kwa kutumia browser.....xaxa hiyo browser itaifungua kutumia nn.??
Pakua App inaitwa mobogenie itatatua tatizo lako. Angalizo usipakue kwenye play store itakuzingua. Ipakue kwenye browser mfano operamin au Mozilla.
Halaf nikishadownload hiyo mobogenie nadownload hapo hapo mobogenie au???
Yap hapo hapo unapata Whatsapp na App nyingine kwenye hiyo Tab yako.
Imekataa lo hebu nielekeze kidogo
Itabidi unitafute sasa kama umeshindwa kuiweka.
0787577755
Je kudowload whatsapp kwenye tablet unafanyaje mi inakataa
Comrade unataka kutatua na mengine zaidi ya suala la WhatsApp... :tape2::biggrin:
Comrade unataka kutatua na mengine zaidi ya suala la WhatsApp... :tape2::biggrin:
Unatakiwa kujua aina ya tablet yako kama inaspprt whatsapp au la kama inakata kwa sababu haisapprt bx huna meanx nyingne
Itakuaa madhanii