TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

Jana imenicost over five hours to download runtime. sasa nikiifungua in a take time Sana kuload sijaweza ona hata menu.
so LORDVILLE niendelee kusubiria au?
sorry kwa kuchelewa kujibu!!! ni kweli at first huwa inachukua mda kudownload then na kama mtandao uko safi itamaliza vizuri tu!!! na zaidi ya yote kama pc yako inauwezo mzuri, bluestack utai enjoy (na kinyume chake ni sahihi)!! kila la heri mkuu.....
 
Mkuu mimi nimejaribu hapa, nimefanikiwa ku-download na installation pia, ila imekwama coz RAM yangu ni 1GB! daaah, nimeukosa huu huondo!
hujakosa uhondo mkuu....kuna substute yake....jaribu kutafuta youwave..
 
Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye youwave (MAELEKEZO)

1. INSTALL YOUWAVE, WEKA NA CRACK, UKISHAMALIZA START YOUWAVE
>>>>>>>>>Download YouWave Hapa<<<<<<<<<<<<<<<<

2. UPANDE WA KUSHOTO CLICK VIEW > ONLINE CONTENT

1016275_396361977152011_480993017_n.jpg

3. KWENYE ONLINE APPS CHAGUA WHATSAPP (DOUBLE CLICK) ITAANZA KUDOWNLOAD WHATSAPP KISHA ITAINSTALL, ILA KAMA UNAYO WHATSAPP.APK KWENYE PC UNAWEZA KUINSTALL DIRECT, BAADA YA KUINSTALL CLICK MENU BUTTON YA ANDROID YAKO

971510_396362007152008_1675836211_n.jpg

4. UKIFUNGUA ANDROID MENU YAKO UTAONA APPS, FANYA KAMA UNASWIPE KWENYE SIMU YAKO (HOLD KISHA DRAG ILI UPATE APPS ZAIDI)

944265_396362017152007_935279934_n.jpg

5. DOUBLE CLICK WHATSAPP NA UANZE SETUP YA WHATSAPP

998517_396362047152004_114186706_n.jpg

6. VOILAAAAAAAAAAAAA, U DONE , HONGERAAA

1004455_396380400483502_1843026640_n.jpg

Shukrani mkuu C6, nilijaribu BlueStacks ilinishinda.
 
habar wadau wa Jf ,jinsi ya kutumia whatsapp ,viber,instargram nk kwenye computer,unahitaji tu kuwa na kijisoftware kiitwacho "Bluestacks"ambacho unaweza kukidownload google ukishadownload ni PM kwa msaada zaidi.
 
Ndo hvo tu au kuna la nyongeza

watu tumejadili humu hii kitu zaidi na zaidi

ulisafili nn ndo unarud ...

enjoy++

habar wadau wa Jf ,jinsi ya kutumia whatsapp ,viber,instargram nk kwenye computer,unahitaji tu kuwa na kijisoftware kiitwacho &quot;Bluestacks&quot;ambacho unaweza kukidownload google ukishadownload ni PM kwa msaada zaidi.
 
haya mkuu nimekuuelewa ukishadownload itafunguka halafu nenda kwenye search type whatsapp halafu itaonekana sema download hapo itaidownload whatsapp kwenye pc yako
 
habar wadau wa Jf ,jinsi ya kutumia whatsapp ,viber,instargram nk kwenye computer,unahitaji tu kuwa na kijisoftware kiitwacho "Bluestacks"ambacho unaweza kukidownload google ukishadownload ni PM kwa msaada zaidi.

kwa taarifa yako jf unapotoa ujuzi fulani lazima utoe maelekezo yaliokamilika zaidi ya hapo mkuu unataka tu pm yako iwe bize toka zero to something..
 
yaani kuona alyeandka huu uzu anagwayagwaya kama hana uhakika na kitu chake angetupia hata direct link na maelekezo ya kujitosheleza
 
habar wadau wa Jf ,jinsi ya kutumia whatsapp ,viber,instargram nk kwenye computer,unahitaji tu kuwa na kijisoftware kiitwacho "Bluestacks"ambacho unaweza kukidownload google ukishadownload ni PM kwa msaada zaidi.

bora ufute tu post yako haina maana hivi umeleta mada ya kufundisha jinsi ya kutumia whatsapp ,viber,instargram ya nini mtu umwambie PM hivi unajua matumizi ya PM thread kama hizi hazina mashiko mbele ya jamii inayoangalia toa vitu vyote PM ya nini
 
Bola umeona hilo anazani yuko FB hapa ,

enjoy++

bora ufute tu post yako haina maana hivi umeleta mada ya kufundisha jinsi ya kutumia whatsapp ,viber,instargram ya nini mtu umwambie PM hivi unajua matumizi ya PM thread kama hizi hazina mashiko mbele ya jamii inayoangalia toa vitu vyote PM ya nini
 
Habari wadau,
nimekuwa nikitumia whatsapp katika Laptop kwa muda kidogo ila nimeshindwa kuwaona watu wengine ambao nao wako whatsapp, kuweza kuwasiliana na mtu mpaka yeye anitumie msg ndipo nami ntaweza kumtumia na kuendelea kuwasiliana nae. Je naweza kutumia njia gani kuwaona na kuwatumia msg ambao bado hawajanitumia msg yoyote. Na je wapi naweza kupata picha au video ninazotumiwa?
Ni hayo kwa sasa.
 
Ndivo ilivo,sababu ile WhatsApp number unayotumia kwenye PC ipo tu virtually so haiwez ku-synchronize contacts kutoka kwenye hiyo SIMCARD wakati haiko physically present kwenye PC.
Only solution ni either KU-ADD hizo contacts manually moja baada ya nyingine au tengeneza Vcf file lenye contacts zote kwa kuzi-export kwenda SD CARD then hilo file lihamashie kwenye computer yako then angalia kwenye hyo emulator yako ya WhatsApp kwenye PC import hilo file lenye contacts.
 
Ndugu, wewe waweza kuwa msaada kwangu pia, nahitaji kutumia whatsapp kwa PC yenye ubuntu, how do I go about installing it? na kama haipo compatible nayo je kwa windows nafanyaje

Thanks in advance
 
Bluestacks ndo best emulator kwa ajili ya ku-run android apps kwenye Windows 7.
Ni rahisi...
Ingia www.bluestacks.com,idownload na install kama kawaida.Make sure graphics drivers zako ziko updated.
 
je nikitaka zile audio, picha au video nifanyaje?

Ndivo ilivo,sababu ile WhatsApp number unayotumia kwenye PC ipo tu virtually so haiwez ku-synchronize contacts kutoka kwenye hiyo SIMCARD wakati haiko physically present kwenye PC.
Only solution ni either KU-ADD hizo contacts manually moja baada ya nyingine au tengeneza Vcf file lenye contacts zote kwa kuzi-export kwenda SD CARD then hilo file lihamashie kwenye computer yako then angalia kwenye hyo emulator yako ya WhatsApp kwenye PC import hilo file lenye contacts.
 
Bluestacks ndo best emulator kwa ajili ya ku-run android apps kwenye Windows 7.
Ni rahisi...
Ingia www.bluestacks.com,idownload na install kama kawaida.Make sure graphics drivers zako ziko updated.

idoubt kama kuna bluestacks ya linux-based operating system mkuu ila incase kama hamna bora atumie windows emulator kama Wine, ili afanye emulation ya hiyo bluestacks
 
naombeni msaada guys, ni vp una-install watsup kwenye pc yako? naombeni at least links za kudownload hiyo app
 
Back
Top Bottom