TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

nimeshaidownload ila inaload sana kufunguka na ikifunguka inatulia huwez fanya chochote, msaada jaman
 
Hlo N tatzo La Graphics Driver!!

Solution n Ku install graphic Driver !! ila Uzuri wake Bluestack ina Close substute [youwave ] so kama inakusumua hamia Youwave ila bluestack ina kamvuto kake!!

mkuu youwave siku hz kama vile imebuma
 
Naombeni msaada wenu wakuu namna ya kuinstall whatsapp, nimejaribu imenigomea sasa sijui kuna mahali nakosea tafadhari naomba msaada wenu. natanguliza shukura
 
Download App inaitwa Bluestack Kutoka hapa Run Mobile Apps on Windows PC or Mac with BlueStacks | Android App Player then Run Hyo app so Utakua na Access na Playstore so utaweza Kudownload App zote Ikiwemo Whatsapp Instagram, viber, tango, na nyingineee tu.


ila Hyo App Ni ina Mb 8 tu ila inahtaji Specs kubwaaa kwanza Ram Lazma Iwe 2gb Pia Graphic accelerator lazma ziwe Updated… So Kabla Ya Kudownload Na Kuinstall Fix Hzo kwanzaaa


Ukisha insall bluestack, ingia kwenye google play install go launcher ex, itaifanya hiyo bluestack iwe na mwonekano mzur wa android kama za cm, bt kunakua hakuna mwingiliano wwte kati ya pc na bluestack mfano ukitaka kutuma picha kwa kutumia watsapp na kama hiyo picha imo kwenye pc, inatakiwa ui install dropbox kwenye pc yako.

Kumbuka, youwave ni yakulipia (Ingawa unaweza kuichakachuwa) ila bluestack ni ya bure, isipokuwa ina ishu za ram, vga drivers etc ndo maana siipendi.

Hapa sijui utanisaidiaje maana computer yangu ina ram ni 2 gb na processor ni 1.6ghz
 
mtoa maada mara ya mwisho umetumia bluestack lin? kama n juz juz bas bado huja update maana bluestack now unarza atach file in whatsapp bila dropbox... na hyo feature ipo tangu kitambo maana mm nli update since aprill ndo nkaona hio ktu!!!
 
nataka kutumia whatsapp kwenye pc yangu nifanyeje ?

Mi nadhani ungejaribu ku-search kuna thread ambazo zimashaelezea hilo suala ndugu search kwanza ndugu yangu.
 
Baadhi ya watu tumekua tukihitaji kutumia baadhi ya application kama whatsapp na instagram kwenye pc zetu kutokana na sababu tofauti,, pengine cm haisuport, au sim imeharibika kwa muda au pengine tunapenda tu...

So ifuatayo ni program ambayo unaweza ukafanya yote hayo kwenye pc yako,, yaan app zote za android unaweza kuzipata na kutumia kwenye pc yako....



View attachment 114383

Hivi ndivyo inavyoonekana ,,, kuna sehem ya kusearch hapo juu ambapo unaweza kusearch any applichation and install.... lazima uwe na modem,, n hata wakt wakuinstall lazima uconnect na internet....

Hapo ukishainstall whatsapp process nyingne za kawaida km kweny cm tu....enjoy instagram na whatsapp ht kama hauna cm...

Mkuu Chris41 uki-install hii kitu utaweza kuongea na simu kwa kutumia laptop yng?Wengine tunapenda sana haya mambo ya teknolojia sema ndo hvy tena,vipawa mbalimbali.
 
Last edited by a moderator:
Njia itakusaidia kupakua apps za Android kwenye simu au tableti yako….;
  1. Bila kuwa na Google Play kwenye kifaa chako
  2. Ata kama kifaa hicho hakina intaneti...basi utashusha apk kupitia kifaa kingine chenye intaneti kama kompyuta n.k
  3. Ata kama ujaweka akaunti ya Google kwenye simu/tableti yako

Cha kufanya.
- Nenda kwenye settings na kisha bofya kuweka alama ya tick eneo la 'Unknown Sources', pia ondoa sehemu ya 'Verify apps' - bofya kuondoa tick.
- Kuanzia sasa utaweza kudownload apps kupitia browser na ukaziinstall bila shida yeyote.

Kumbuka apps zozote unazotafuta iwe google au kokote mafaili yanakuwa kwenye mfumo wa .APK.

Kufahamu kwa undani na jinsi ya kufanya hatua kwa hatua kwa wanaoitaji maelekezo ya kina basi tembelea huu mtandao wa kiswahili wa teknolojia - www.teknokona.com - kwenda moja kwa moja kwa makala spesheli juu ya ili jambo bofya hapa -> Jinsi ya Kuweka Apps kwenye Simu za Android bila Kutumia Google Play
 
Back
Top Bottom