TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

By C6
Msaada nimejaribu kudownload bluestacks na Vista yangu ni ultimate inasema ni kwa vista SP2

bluestacks ina limitations nyingi sana, ila youwave unaweka hata kwenye windows xp
 
Untitled.jpg Untitled2.jpg wakuu Leo nmejarbu kutumia instagram on bluestack naona post zmepinduka kama mnavyoona hapo juuuu..... ni kwangu tuu au na kwenu piaaaaa
 
Download App inaitwa Bluestack Kutoka hapa Run Mobile Apps on Windows PC or Mac with BlueStacks | Android App Player then Run Hyo app so Utakua na Access na Playstore so utaweza Kudownload App zote Ikiwemo Whatsapp Instagram, viber, tango, na nyingineee tu.



ila Hyo App Ni ina Mb 8 tu ila inahtaji Specs kubwaaa kwanza Ram Lazma Iwe 2gb Pia Graphic accelerator lazma ziwe Updated… So Kabla Ya Kudownload Na Kuinstall Fix Hzo kwanzaaa


Ukisha insall bluestack, ingia kwenye google play install go launcher ex, itaifanya hiyo bluestack iwe na mwonekano mzur wa android kama za cm, bt kunakua hakuna mwingiliano wwte kati ya pc na bluestack mfano ukitaka kutuma picha kwa kutumia watsapp na kama hiyo picha imo kwenye pc, inatakiwa ui install dropbox kwenye pc yako.

Kumbuka, youwave ni yakulipia (Ingawa unaweza kuichakachuwa) ila bluestack ni ya bure, isipokuwa ina ishu za ram, vga drivers etc ndo maana siipendi.
 
thanx, je kwenye simu htc mytouch naweza kuifanyia maujanja nipate whatsapp? nimejaribu mbinu tofauti bila mafanikio.
 
Ndo maana ikaitwa nchi ya Bongo duh! Kisichowezekana kwa bongo kinawezekana
 
Kaka tatizo lako kama langu siioni ikon sijui mkuu c6 alikusaidiaje msaada wako please kuu uninstall hiyo iliyokuwepo huko app panel ili nii download nyingne
 
mkuu nimefanya yote lakini sijaiona icon ya whatssap.dah! naona nina gundu hii kitu niliitaka sana
 
...oyaaa Ngosi avatar yako inatutia hasira bhana ...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom