Baadhi ya watu tumekua tukihitaji kutumia baadhi ya application kama whatsapp na instagram kwenye pc zetu kutokana na sababu tofauti,, pengine cm haisuport, au sim imeharibika kwa muda au pengine tunapenda tu... so ifuatayo ni program ambayo unaweza ukafanya yote hayo kwenye pc yako,, yaan app zote za android unaweza kuzipata na kutumia kwenye pc yako....
View attachment 114383
hivi ndivyo inavyoonekana ,,, kuna sehem ya kusearch hapo juu ambapo unaweza kusearch any applichation and install.... lazima uwe na modem,, n hata wakt wakuinstall lazima uconnect na internet.... hapo ukishainstall whatsapp process nyingne za kawaida km kweny cm tu....enjoy instagram na whatsapp ht kama hauna cm...