TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

Dah! mkuu C6 kuna folder kwa desktop yako nimeliona limenifanya nitake kujua kuna nini hasa ndani yake.... Kijana una hatari sana wewe.

daaaah, hii sio pc yangu, nimeitumia tu kwa tutorial, afu kuna mwalimu aliitumia kufanyia presentation ilikuwa balaa akajua makubwa
 
Last edited by a moderator:
nimefata maelekezo ya picha vizuri.Nimedownload whatssap mpaka mwisho,lakini nimekwenda ktk apps siioni whatssap.Nimejaribu kuitafuta lakini wapi.Nimetaka kuinstall tena inaniambia 'App already downloaded in Apps Panel (View->Apps). To re-download, please delete it first'.Na namna ya kudelete nayo sijui.Yaani ni majanga tu.Muongozo mkuu
nurbert, Born Star, na Tumsifu Samwel kausheni majamaa, ntaimodify iyo picha asubuhi now nna usingizi maana mmeamua kulivalia njuga ilo folder
 
daaaah, hii sio pc yangu, nimeitumia tu kwa tutorial, afu kuna mwalimu aliitumia kufanyia presentation ilikuwa balaa akajua makubwa

Sasa si bora huyo Mwalimu, sisi tulikua kwenye semina ya kazi Moro, jamaa kaja na mikwara yote na presentation yake, ile anafungua powerpoint yake kumbe amefungua mozila bila kutambua si yakaanza kufunguka ma-tabs mbali mbali ya porn eeh bhana we ukumbi ulikuwa mdogo siku hiyo....

Mmh! hata hivyo utetezi wako haujitoshelezi mkuu ebu njoo na ushawishi mwingine labda nitakuelewa kidogo.
 
nimefata maelekezo ya picha vizuri.Nimedownload whatssap mpaka mwisho,lakini nimekwenda ktk apps siioni whatssap.Nimejaribu kuitafuta lakini wapi.Nimetaka kuinstall tena inaniambia 'App already downloaded in Apps Panel (View->Apps). To re-download, please delete it first'.Na namna ya kudelete nayo sijui.Yaani ni majanga tu.Muongozo mkuu

ukibofya menu ya simu utaona apps kama kwenye simu ya android. fanya kama unaswipe (shikilia left click kisha move screen kushoto)utaona apps zaidi ikiwemo whatsapp
 
Teh teh teh! Born Star ndiye amearibu kila kitu..... hata hivyo ahsante kwa darasa lako mkuu, ila next time kuwa mwangalifu kidogo.. nime-:tape:

ata hivyo folder lenyewe halina chochote cha maana ndani, kuna setup za vlc na zingine, nimelipekua nione kama kuna vitu vikali
 
Last edited by a moderator:
ata hivyo folder lenyewe halina chochote cha maana ndani, kuna setup za vlc na zingine, nimelipekua nione kama kuna vitu vikali

Aisee! Kumbe ni vlc tu? Lol! Me mwenye nilijua kutakuwa na vitu vikali tena vya local maana teknolojia inatupeleka kasi mno.
 
profilepic71833_8.gif
Nyasiro umenikopi sanaaa sasa ukiweza hii najiuzuru hahahhahaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
mkuu nimefanya yote lakini sijaiona icon ya whatssap.dah! naona nina gundu hii kitu niliitaka sana
ukibofya menu ya simu utaona apps kama kwenye simu ya android. fanya kama unaswipe (shikilia left click kisha move screen kushoto)utaona apps zaidi ikiwemo whatsapp
 
mkuu nimefanya yote lakini sijaiona icon ya whatssap.dah! naona nina gundu hii kitu niliitaka sana
hebu nitafute privately nikusaidie personally, kama utaambatanisha nambari yako ya simu ya rununu ili nikupe msaada zaidi
 
mkuu nashukuru sana kwa kuonesha moyo wa kunisaidia zaidi.Kwa sasa imekubali nilii uninstall halafu nikainstall upya,nataraji kuanza maisha ya whatssap.Labda muongozo wako ya kuingiza picha za video na za kawaida pamoja na file za audio kwa ajili ya kumtumia mtu
hebu nitafute privately nikusaidie personally, kama utaambatanisha nambari yako ya simu ya rununu ili nikupe msaada zaidi
 
Teh teh teh! Born Star ndiye amearibu kila kitu..... hata hivyo ahsante kwa darasa lako mkuu, ila next time kuwa mwangalifu kidogo.. nime-:tape:

By C6
Msaada nimejaribu kudownload bluestacks na Vista yangu ni ultimate inasema ni kwa vista SP2
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom