Tumia mbinu hii kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara Kumi zaidi ndani ya siku 30

Tumia mbinu hii kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara Kumi zaidi ndani ya siku 30

Adama H

Member
Joined
Jan 9, 2026
Posts
12
Reaction score
24
Je Ungependa kupandisha mauzo
Ya Biashara Yako Ndani Ya Siku 30

Kama jibu lako Ni Ndio Naomba Uniazime Dakika zako Tano Nikuoneshe
Jinsi Ya Kufanya Hivyo

Twende pamoja

Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo Kuna Siri
Inatumiwa Na kampuni Chache Sana

Kupandisha Mauzo Ya Kampuni zao
Kama Vile Pepsi,Amazon,Mr uk nk

Na

Siri Hiyo inaitwa Sales Target

Na Je Sale Target Ni Nini

Ngoja Nielezee Hapa Chini

Sale Target ni Kitendo Cha Kuwa na Lengo la idadi ya Bidhaa unazotakiwa
Kuuza Ndani ya kipindi Fulani

Au kuwa na lengo ya idadi watu unaotakiwa Kuwahudumia Kwa Kipindi Fulani Kama Kwa siku,wiki,mwezi nk

Mfano kama Unafanya Biashara ya Magauni ya wanawake Keti Chini Kisha andika idadi ya Magauni

Unayotakiwa kuuza Ndani Ya Mwezi Husika Mfano ikitokea umepata idadi ya Magauni 100

Kwahiyo Baada ya Kupata Hiyo idadi
Unachotakiwa kufanya ni Kuweka

Mikakati ya masoko ili Uweze Kufikisha
Iyo idadi ya Magauni 100

Na

Unaweza Kuamua Kuweka Lengo la siku,
Wiki,Mwaka nk

Na kwanini Mbinu Hii inafanya kazi
Sana kwenye ulimwengu wa Mauzo ni
Kwa Sababu itakufanya uwe Unatumia

Mda wako mwingi Kutangaza na Kuuza Bidhaa zako ili uweze Kutimiza Lengo la idadi ya Bidhaa ulizojiwekea

Na Kampuni inayongoza kwa kutumia Mbinu Hii Ni Kampuni Ya Pepsi,Pepsi Kabla Hawajaaza Kutangaza na Kuuza soda

Timu Yao ya Mauzo uwa inakaa Chini na Kuweka Lengo la idadi ya Soda

Wanazotakiwa kuuza Kwa Mwaka Husika

Wakisha Pata Idadi ya Soda Wanazotakiwa kuuza Ndani Ya Mwaka
Husika

Wanaingia Sokoni Kuaza Kutangaza na Kuuza soda Hadi wafikishe Hiyo idadi Waliojiwekea

Bonasi Tips

Jeff Bezzo Anasema Kuwa na Lengo la idadi ya Bidhaa ambazo Unatakiwa kuuza Ndani ya kipindi Fulani Ndio

Kiashiria Cha kwanza cha Kukuonesha
Kama Mauzo Kwenye Biashara Yako
Yanapanda Au Yanashuka

Tumaini Langu Umepata Kitu Kipya Cha Kujifunza uwe na siku Njema
 
Back
Top Bottom