Tumepanda Airbus 380 kwa ngazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumepanda Airbus 380 kwa ngazi!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Synthesizer, Oct 26, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Wakuu nilikuwa Ujerumani ikabidi tpandishwe Airbus 380, ile ndege ya double decker kwa ngazi. Nadhani kulikuwa nahitilafu kwenye zile bridges za kupandia

  Airbus2.jpg

  Airbus1.jpg Airbus3.jpg
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Pole ndugu siku nyingine usafiri na ngazi yako mwenyewe!
   
 3. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Thibitisha kama ulikuwepo hapo!
   
 4. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naomba tumwamini tu..huyu ni mdau au unataka hadi a-scan copy ya ticket yake?...hapana bado hatujafika huko.
   
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du mbona safi tu wewe panda tu hiyo Ndege utafika sisi huku Bongo ndio tunazitumiaga
  mm nilifikiri ni ngazi km zile za Tanesco au Posta na Simu
   
 6. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu hujawahi kusafiri nn? Kuna ajabu yoyote yeye kuwa mmoja wa abiria katika hiyo ndege?
   
 7. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Inategemea mlikuwa uwanja gani. Kuna baadhi ya viwanja si vikubwa hivyo hata gates za kuingilia ndani ya ndege huwa ni chache. Hiyo husababisha baadhi ya ndege kupandisha abiria katika mtindo huo kwenye picha. Bado kuna sababu nyingine nyingi kama vile delay ya flight husika, nk. Hata hivyo ni kitu cha kawaida kabisa hicho.
   
 8. J

  John W. Mlacha Verified User

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Bwa ha ha ha ..dogo unafikiri wote humu JF tunasoma UDOM?
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Ushamba mzigo mweeee
   
 10. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh kwi kwi kwi nadhani umemshushia hasira zote,next time atajifunza,huku kuna watu wa aina zote mpaka Rais anatambua uwepo wa JF.
   
 11. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mleta mada siku nyingine wakikuletea mingazi yao ANDAMANA.
   
 12. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mwacheni mtoa mada athibitishe. Mbona mimi juzi juzi nimepanda Jumbo Concorde pale France, mnabisha niwathibitishie
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  thibitisha kama wewe siyo chizi..hahahaha
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwani yeye ni chadema..hahaha
   
 15. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chizi chizika hahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hahahaaaa nimeipenda hii
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Hakyanani jf!
  Yaani nimekoma!
   
 18. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Sijajua imekuaje, but huo utaratibu mbona unatumika sana kwenye busy airports around the world toka nimeanza kusafiri sijawahi kupanda ndege kwa bridges kwenye airport za connections always ni kwa ngazi za vigari... Mara nyingi unapoanzia safari ndo unapita kwenye bridges as zinaunganishwa kutoka kwenye check in... But connections ni mwendo wa ngazi tu baada ya kupandishwa shutle as ndege unaifata mbali
   
 19. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  kila mpanda ngazi hushuka.............bado uko juu?
   
 20. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Wivu huo amavubi
   
Loading...