Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,303
Mwacheni mtoa mada athibitishe. Mbona mimi juzi juzi nimepanda Jumbo Concorde pale France, mnabisha niwathibitishie
Yeah,go ahead c'mon
Mwacheni mtoa mada athibitishe. Mbona mimi juzi juzi nimepanda Jumbo Concorde pale France, mnabisha niwathibitishie
Yeah,go ahead c'mon
Mwacheni mtoa mada athibitishe. Mbona mimi juzi juzi nimepanda Jumbo Concorde pale France, mnabisha niwathibitishie
Hivi kunakuwaga na wapiga debe
Duh! hiyo "Jumbo Concorde" uliyopanda itakuwa Made in Mzinga pale Kibaha, Tanzania kwani Concorde ya mwisho ku-fly ilikuwa mwaka 2003!
Sijajua imekuaje, but huo utaratibu mbona unatumika sana kwenye busy airports around the world toka nimeanza kusafiri sijawahi kupanda ndege kwa bridges kwenye airport za connections always ni kwa ngazi za vigari... Mara nyingi unapoanzia safari ndo unapita kwenye bridges as zinaunganishwa kutoka kwenye check in... But connections ni mwendo wa ngazi tu baada ya kupandishwa shutle as ndege unaifata mbali
Kwani kigeni ni kipi? Kupanda ndege au kwenda Ujerumani?Thibitisha kama ulikuwepo hapo!
Inategemea mlikuwa uwanja gani. Kuna baadhi ya viwanja si vikubwa hivyo hata gates za kuingilia ndani ya ndege huwa ni chache. Hiyo husababisha baadhi ya ndege kupandisha abiria katika mtindo huo kwenye picha. Bado kuna sababu nyingine nyingi kama vile delay ya flight husika, nk. Hata hivyo ni kitu cha kawaida kabisa hicho.
Tulikuwa uwanja wa Frankfurt. Labda ambacho sikusema ni kwamba tulikuwa tumepack pembeni ya air bridges zinazotumika kwa ajili ya Airbus A380. Ni kwamba hazikutumika.
Na pia Airbus A380 inachukua abiria kama 600 hivi, kwa hiyo kupanda kwa ngazi inachukua muda sana, ilibidi safari ichelewe karibu saa nzima. Fikiria abiria walio deki ya juu inabidi wapande kwanza level ya chini kisha waende juu.
Labda ilikuwa ni majaribio kuona kama inawezekana Airbus A380 kupakia abiria kwa ngazi!
Kwa wanaosema nithibitishe, sioni kwa nini nifanye hivyo. Na nitathibitishaje ikiwa hunifahamu kwa sura na jina kamili?
Acheni kutuzingua!Mkuu hujawahi kusafiri nn? Kuna ajabu yoyote yeye kuwa mmoja wa abiria katika hiyo ndege?