Tumefika Salama Bondo Nchini Kenya kumzika Baba

Tumefika Salama Bondo Nchini Kenya kumzika Baba

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,715
Reaction score
59,249
Salaam,

Pamoja na pukurukushani za Polisi na uhamiaji kutukamata na kuzuia Mipaka tusiende Kenya, Walio wengi tumefanikiwa kufika Bondo, Kaunti ya Siaya Nchini Kenya kuhudhuria Mazishi

Pia tutarudi salama muda tunaotaka iwe mchana au usiku. Kwa kutumia Boti, Boda au Gari..

Haikuwa kazi rahisi.. Asanteni wana Sirari kwa msaada wenu.
Screenshot_20251019_071346_Maps.jpg

Salaam,

Pamoja na pukurukushani za Polisi na uhamiaji kutukamata na kuzuia Mipaka tusiende Kenya, Walio wengi tumefanikiwa kufika Bondo, Kaunti ya Siaya Nchini Kenya kuhudhuria Mazishi

Pia tutarudi salama muda tunaotaka iwe mchana au usiku. Kwa kutumia Boti, Boda au Gari..

Haikuwa kazi rahisi.. Asanteni wana Sirari kwa msaada wenu.
mazishi mema , fikisheni pole zetu
 
Kimbe
Salaam,

Pamoja na pukurukushani za Polisi na uhamiaji kutukamata na kuzuia Mipaka tusiende Kenya, Walio wengi tumefanikiwa kufika Bondo, Kaunti ya Siaya Nchini Kenya kuhudhuria Mazishi

Pia tutarudi salama muda tunaotaka iwe mchana au usiku. Kwa kutumia Boti, Boda au Gari..

Haikuwa kazi rahisi.. Asanteni wana Sirari kwa msaada wenu.
View attachment 3490567
Kimbembe mkirudi
 
Muogope sana mtu mwenye akili ndogo kichwani! Yaani wapinzani wanazuiliwa kusafiri nje ya nchi bila ya sababu za msingi, na kinyume kabisa na haki za msingi za binadamu.
Hivi Siku watawala wetu wakifa na kukawa na mass mobilisation toka upinzani kwamba tususie misiba yao, hii serikali ya ccm itakuja kulalamika kwamba imeonewa misiba yao kususiwa?
serikali ya ccm, acheni songombingo Kwa watu kwenda kuwazika wafu.. zamu yenu inakuja tena Kwa kasi sana , mtoa roho anawachora tu huko alipo.
Misiba iisikieni tu Kwa wengine, Siku ikuwakuta msimwage machozi hadharani wala kulia na kuzimia.
 
Ni upumbavu na kujidanganya kudhani kwamba unaweza kuzuia uhusiano wa Kenya na Tanzania kwa kigezo cha hati ya kusafiria. Watu wanaishi Kenya na wanalima Tanzania hawapati usumbufu.. Bia za Tanzania zinanywewa Kenya kama kawaida.
 
Mpaka wa Tanzania na Kenya una urefu wa zaidi ya Kilometa 750.. Unaweza amua uvuke kwa kutumia ziwa, Bahari au ukatize kwa mguu, gari nk. Hakuna sehemu kuna Fensi, sehemu kubwa ni vigingi tu..

Unaweza amua uvuke usiku au Mchana
Kwani Heche hajulikani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom