Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Hamasi ni ugaidi, ni Islamic state, kufuta hamas nikufuta uislamic state, nimeelewela hapo
 
Ila kiongozi IDF imetumia silaha takriban zote kasoro Nuclear bombs tu.
Mpaka white phosphorus wametumia mkuu.
Yani silaha ambayo hajatumia ni nuclear tu.
Vita haichagui silaha Mula.

Hakuna huruma.
 
Mtu yyt mwenye Imani kuwa akizini , akiua akilawiti, kala rushwa, akibaka kisha weekend akaenda kanisani na kumkabidhi DHAMBI ZOOOTE HIZO YESU basi uwezo wa kuelewa kitu chochote kibaya kuhusu wayahudi HAIWEZEKANI.

Yaani Piga ua.

Hata akimkuta myahudi analawiti mtoto wake Atasema macho yake hayako sawa labda yule myahudi alikuwa anamfanyia tu maombi matakatifu mwanae au anamtoa majini yaliompitia ya waislamu .

Kwa imani yenu Hilo ni TAIFA TEULE .

Toka lini Taifa teule LIKAKOSEA?
[emoji1787][emoji1787]
Mtu anayeamini kuwa akifa kwa kuwaua binadamu wenzake wasioamini katika imani yake anaenda peponi na kupewa mabikra 72 huku akiketi kando ya mto unaotiririsha pombe HAWEZI KUWA TIMAMU KICHWANI. Pole sana binti.
 
Amini nakwambia ya OCTOBER 07 hayataisha mpaka Palestine ipate haki yake.
Na mimi naomba Oktober 7 2024 hamas wafanye tena.

Nafurahi kuona kizazi kinacho unga mkono Hamas kinazidi kuangamia.

Sasa wameangamia watu 25,000 plus.
 
Sijui itakuwa lini, ila yajayo yana sikitisha...maafa yatakuwa makubwa sana pande zote mbili.
Pande zote za kuzionea huruma.

Ila pande isiyo na economic prosperious ni ya kuionea huruma zaidi.

Imagine mmoja anasaidiwa na super economy (USA) mwingine anasaidiwa na maskini wa mashariki ya kati (Irani).
 
Jews were and are still the people best equipped to expose the FALSE PROPHET that is they're most hated by his followers.
Hiki ndiko kilicho mfanya mtume awaagize wana dini wote wawachukie waisrael.
 
Ila huo ndio uhalisia.
Hicho kikundi unachokidai cha ugaidi(japo kiuhalisia wapigania uhuru)Haretz news ya Israel imeripoti imegeuza askari 8000 wa IDF walemavu wa kudumu.
Askari 8,000?

Leta link ya Haretz inayosema hayo.
 
lakini wameshindwa kabisa kuwaokoa mateka wao kutoka kwa wanaume wa KHAMAS , kwa hio usifananishe mashoga wayahudi na Wanaume wa KHAMMAAS
Kuna umuhimu gani wa kuokoa mateka mapema kabla hawajamaliza kusababisha uharibifu na mauaji ya ziada>?

Tumia akili utagundua kuwa kuokoa mateka hakuto instill fear na kuweka heshima.

Kufanya uharibifu na kuua watu zaidi ndio kutasaidia kuzuia shambulizi lingine la oktoba 7.

Mateka baadae.


Mbele ya Netanyahu mateka hawana umuhimu (Hawezi sema hivi mbele overtly) ndio maana alikataa mapendekezo ya Hamas ya kusitisha vita kuridisha mateka wa ndani ya israel na kuruhusu 2 state solution.
 
Vipi wayahudi wasio raia wa Israel mnawaweka kwenye kundi gani?

Na vipi raia wa Israel wasio Wayahudi nao mnawaweka kundi gani?
Are they in the land of Israel? if yes then YES.
 
Ushabiki mwingi kuliko taarifa kamili. Mara ushoga mara nini. Zanzibar kuna mashog na hamsemi. Mtu katuliza mbupu huko anaandika ujinga kabisa. Nje ya thread kabisa. Kama yupo Gaza vile
Embu leteni data za maana acheni upuuzi huu, Watanzania wenzangu.
 
Kumkashifu Yesu Kristo ni kuinajisi Quran maana imemtambua kama masihi aliyeleta injili kwa wanadamu so jitie najisi tu, utavuna na kizazi chako.
Hivi unaelewa hata ulichokiandika lakini? Wapi kuna mtu amekashifiwa? Halafu nyinyi si hua mnasema Nabii Issa sio Yesu? Coz Quran inamtambua nabii Issa kama nabii tu na ni binadamu kama wewe tu,

Haya jibu swali langu sasa,

Hivi waliomuua huyo Yesu kwa mujibu wa imani yako ni kina nani? Hebu jibu hili swali kwanza.
 
Vita ya Jericho.

Walikufa takribani wapiganaji 50,000 wa Israel, na Vita wakashinda. Unafananishaje na wapiganaji 28 walio uawa tarehe 22?

Soma historia, Acheni uvivu.
Unajuwa vijana wa Kipalestina wakoofi sana, vile vibomu vyao wanavyovifunga mbele ya RPG vinavyokwenda kukandamiza vifaru vya mazayuni wanaviitaje ? Kama unajuwa Kiswahili vizuri, utaelewa.

Wanaviita "khashuwa".
 
Itafute elimu dunia ili ujenge uwezo wa kupambana kwa hoja na si vihoja vya madrasa! Mudi hakujua kusoma wala kuandika, bilashaka wajukuu zake mnapita mulemule!
Wahi uende ukabarikiwe kabla hujachelewa,sasa hivi ni ruksa.
 

Attachments

  • Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    57.3 KB · Views: 9
Back
Top Bottom