Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?
Wewe mwenyewe Hamas huwajui zaidi ya kuwasikia viongozi wake. Hivyo unachokiongea hata haukijui
Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?
Kuifuta ni process, je hawajaguswa? Wapo vilevile ma harakati zao?
Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?
Hakuna majali walitaja muda wa ukomo. Ukijiondoa wewe na watu wa aina yako, wengine wote wama kumbukumbu kwamba Netanyahu alisema wanajiandaa na operation ya muda mrefu pale Gaza.
Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?
unazidi kujichanganya, hakuma majala waliposema wataweka utawala wao Gaza, walivhosema mi kuirudisha Gaza mikononi mwa Mamlaka ya Wapalestina. Au leo jauwakubali Wapalestina?
Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka? Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora
Kwako tafsiri ya kuwaokoa ni nini? Hakuna waliotoka mikononi mwa Hamas? Halafu unazidi kujichanganya, umeanza kutaja malengo mengine, halafu mbele ya story unakuja na mengine ili kuipa mashiko story yako. Au uandishi na uwasilishaji ndiyo tatizo? Ungeanza kutaja malengo huko juu
Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya nusu ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?
Hivi wewe kweli unazijua hata kazi za MOSSAD?
Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu?
Huwa wakiuawa ndiyo hao mnatangaza kuwa ni waandishi wa habari, wagonjwa, wafanyakazi wa UN n.k,
Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?
Unairudia tena hiyo ya uokozi as if hakuna kweli aliyeokolewa. Kingine lazima utambue kwamba, shughuli ya uokozi imaendeshwa sambamba na tahadhari kubwa ikiwemo ukaguzi wa kila jatua wanayoipiga. na uteguzi wa miteho ma mabomu mengi. Sasa kea akili za Kindezi mmsibuka na kudhani wanacheza gwaride tu.
Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
Huwa wakiuawa ndivyo mnavyowaita. Raia, wakimbizi, waandishi wa habari, wafanyakazi wa UN n.k