Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Unaona sasa ulivyokua mpumbavu? Nakwambia Judaism na ukristo ni kama maji na mafuta halafu unaniuliza kua kwani wakristo na wayahudi wakiamini Mungu mmoja ni tatizo!! Hivi unajielewa kweli? Unajua kua Judaism ipo against na Christianity?

Hivi una umri gani kwanza? Isije ikawa naelewesha kitoto cha Shule,halafu unaonekana akili yako kama unayo basi imeganda kama barafu.
Kuwa against hakuondoi ukweli kwamba Mungu ni moja mbona kuna watu baba mmoja ila hawapendani
Mbona washia na sunn wote waislamu ila wanabeef kali

Jifunze kujikita kwenye mada achana na maneneo ya kashfa na matusi

mimi hata untukane matusi yote sikasiriki lengo lako unataka nianze kuporomosha matusi kama wewe Mimi sijui kutukana
 
Huwezi ku instill fear kwa hawa jamaa.
Raia wenyewe kuanzia Westbank mpk Gaza wanasema kheri kufa kuliko kuteseka.
IDF vifo vinazidi ndani ya masaa 48 kuanzia vifo 187 mpk vifo 196 vya wanajeshi.
Na hamas hadi sasa wanajibu mashambulizi hapo Khani Younis.
Ni upuuzi kuwaza jeshi la nchi linaweza kushindwa na kikundi cha ugaidi.
 
Ni upuuzi kuwaza jeshi la nchi linaweza kushindwa na kikundi cha ugaidi.
Ila huo ndio uhalisia.
Hicho kikundi unachokidai cha ugaidi(japo kiuhalisia wapigania uhuru)Haretz news ya Israel imeripoti imegeuza askari 8000 wa IDF walemavu wa kudumu.
 
Israel hawana uwezo wa kuwaokoa mateka na sio Israel tu hata taifa lolote wasingeweźa sababu ni moja. HAMAS wana mtandao wa mahandaki wa 500km underground, US alishindwa vita na Vietnam kwa sababu Vietnam waliluwa na mtandao wa mahandaki wa 250km.

USHINDI mkubwa kwa hamas ni kufanikisha kujenga huo mtandao wa 500km, na hao Israel hawakuwa wanajua kama kuna mtandao mkubwa kiasu hicho.

Pia katika vita huwezi tumia kila silaha kama unavyotaka wewe maana kuna sheria za kimataifa zitakubana.
BLAH BLAH BLAH!!!
 
Kama sio viumbe vya Mungu nani kaviumba??
Inamaana Mungu wenu anachagua kipi kakiumba??
Basi yaonesha kuna alie na uwezo wa kushindana na Mungu wenu mpaka akaumba majini.
Wanaokimbilia kwa waganga sio waislam pekeake,ushirikina ni hurka ya mtu sio dini.
Wapo wakristo huko Katavi Mpanda nimefika wafipa wanaamini ushirikina hatari na jamii ya wafipa asilimia kubwa wakristo.
Mimi chochote kinachonikuta humuomba Mungu maana yeye ndiye mkusudiwa wa kila jambo ubaya na wema wote unatoka kwake maana yeye ndiye muanzilishi na muendeshaji wa kila kitu.
Hapo ndiyo mnapokosea.
Kusema eti ubaya unatoka kwa Mungu.
Ndugu yangu Mungu siku zote anatuwazia Mema lakini kwa sababu shetani na majini ambao wote kwa ujumla walimuasi Mungu ndiyo vyanzo vya matatizo kwa watu lakini kwa sababu Mungu yupo ndiyo anatusaidia.
Kama ni kweli hujawahi enda kwa mganga endelea na imani hiyo itakusaidia sana maana 100% waganga ni wachawi sema ni idara tofauti tu........Alafu kuhusu uumbaji ni kweli kila kitu kimeumbwa na Mungu lakn kadri kilichoumbwa kinavyozidi kuendelea kinaweza kumuasi Mungu na kuwa kinyume nae ndy hayo majini sasa maana mara ya kwanza yalikuwa maraika.
 
Kitu
Amini nakwambia ya OCTOBER 07 hayataisha mpaka Palestine ipate haki yake.

OCTOBER 07...haikuwa mara ya kwanza kwa HAMAS kuishambulia ISRAEL.

kitu pekee nachokiona mimi ni kwamba HAMAS ya jana Siyo ya leo... hii siyo HAMAS ya manati na mabomu ya petrol.
The next HAMAS itakuwa na fighter jet, advanced rockets launcher na vifaru.

Sijui itakuwa lini, ila yajayo yana sikitisha...maafa yatakuwa makubwa sana pande zote mbili.

ISRAEL bila USA ni sawa na nyuki wa mashineni.
Mnachoshindwa kuelewa israel hata ichangiwe na Dunia nzima hawawezi kushinda maana lile ni Taifa Teule.
 
Kwa hiyo majini yaliumbwa na baba yako na sio Mungu?
Hii ni sawa na kusema kwahiyo Mungu aliumba walevi,wezi,mashoga,makahaba,wavuta bangi.......skia nikueleweshe kidogo Mungu aliumba vitu safi lakini watu huja kujialibu wenyewe kwa mitazamo yao na vishawishi vya shetani kwahiyo huwezi ona mwizi ukasema tumuache tu eti kwa sababu kaumbwa na Mungu.
Na ndiyo hvyo hvyo kwa majini pia Mungu hajaumba majini ila majini ni matokeo ya kutoshika Amri za Mungu na Mungu akawatimua....Tatizo kitabu chenu kina historia fupi sana ya mambo.
 
Umemaliza au bado unaongea?

Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa.

Kwa sasa jeshi Takatifu la Israel lipo Al Yunus baada ya kuwaua HAMAS Gaza kama mbu,Iran aliyekuwa kawatuma HAMAS na wewe ulikuwa ukishinda humu kumshangilia,kaufyata mkia, Wapalestina wamekufa kama inzi kwa upumbavu wao wa kuyahifadhi magaidi ya HAMAS.

Tunaua nyoka wa HAMAS na mashimo yao tunayachoma moto na kuyafukia,kwa hiyo basi yoyote aliyemo ndani ya mashimo ya nyoka wa HAMAS lazima afe.
Unasali parokiaa ya wapi?
 
Eti majini viumbe wa Mungu..mbona yakiwakaba hamuendi kwa Mungu kumwambia kuwa viumbe wake wanafanya vurugu ila mnakimbilia kwa waganga kila kukicha ma huku idadi yenu inapungua kwa kuuliwa na majini.
Yaani wewe kweli hamnazo haya majini yamejiumba yenyewe??
 

Attachments

  • Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    57.3 KB · Views: 22
Kuwa against hakuondoi ukweli kwamba Mungu ni moja mbona kuna watu baba mmoja ila hawapendani
Mbona washia na sunn wote waislamu ila wanabeef kali

Jifunze kujikita kwenye mada achana na maneneo ya kashfa na matusi

mimi hata untukane matusi yote sikasiriki lengo lako unataka nianze kuporomosha matusi kama wewe Mimi sijui kutukana
Wewe unamuabudu Mungu gani na Judaism wanaabudu Mungu gani?

Au huko mnapoenda kuuziwa chumvi na maji ndio hua mnaongopewa kua mnachokiabudu nyinyi ndio hicho hicho pia kinaabudiwa na Judaism?

Sasa kwa akili hiyo hata nikikuelewesha huwezi kuelewa kitu coz akili yako imefungwa na manabii uchwara,unapelekeshwa tu kama kondoo mbugani.
 
Back
Top Bottom