Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

We unaelewa nini unapoambiwa kushindwa kaka??
Kushindwa hakupimi idadi ya vifo vitani ama uharibifu bali kunatizama malengo ya misheni na kutimia kwake.
Uko njema tuzijadili hizo misheni?
Kama israel angekua ameshindwa sidhani mngekua mnailalamikia kila siku huku jamiiforum
 
Wewe pimbi usiye na akili nilijua tu usingeweza kujibu maswali yangu,hapo nimekupa maswali mepesi tu unarukia mambo mengine,ndio maana nilikwambia toka mwanzo kua huna akili ya uelewa,unarukia mada inayohitaji akili wakati wewe ni empty set tu,siku nyingine kwenye mada kama hizi uache kujipitisha huku unatingisha trako.
Kaka punguza jazba.
 
Ila kiuhalisia kaka IDF ground battle hawaziwezi.
Nimetizama video moja pale khan younis hao hamas wanavyopiga shaba aisee ni hatari.
Siongei ushabiki Israel jeshi la anga ndio jeshi bora ulimwenguni labda China anaweza mshinda ila ukija kwa ground battle hawawezi kuhimili.
Endelea kujifariji alishindaje vita vya 1967 na nani alikuambia karne ya 21 uimara wa jeshi unaponwa na ground battle
Uimara wa jeshi unapimwa na wingi wa vifaa vya kisasa
 
Kama israel angekua ameshindwa sidhani mngekua mnailalamikia kila siku huku jamiiforum
Kaka elewa kiswahili.
IDF kuua watu hovyo hakupimi yeye kushinda kinachopima malengo ya kuingia vitani yametimia?
Embu kama una ndugu wanajeshi waulize vita kushinda huwa inatizamwa nini halafu wakupe jibu.
 
Imeua watu hovyo tokea lini
 
Endelea kujifariji alishindaje vita vya 1967 na nani alikuambia karne ya 21 uimara wa jeshi unaponwa na ground battle
Uimara wa jeshi unapimwa na wingi wa vifaa vya kisasa
1967 six days war ilioanza February 5-10 ilikua ni uvamizi wa jeshi la anga la Israel dhidi ya Egypt Sinai na Syria Gollan heights.
Egypt ilipoteza ndege zaidi ya 200 katika airbase yake ya Sinai na ndipo alipoporwa Sinai hakukuwa na confrontation kulikua na suprise attack.
Vita hauimalizi kwa makombora na ndege pekeake ndugu yako infantry ina umuhimu wake katika vita.
 
Ila kiuhalisia kaka IDF ground battle hawaziwezi.
Nimetizama video moja pale khan younis hao hamas wanavyopiga shaba aisee ni hatari.
Siongei ushabiki Israel jeshi la anga ndio jeshi bora ulimwenguni labda China anaweza mshinda ila ukija kwa ground battle hawawezi kuhimili.
Inawezekana mkuu, siwezi kukubishia kwa kuwa mimi sijaiona hiyo video. I totally agree with you.
 
Imeua watu hovyo tokea lini
Kamtafute Doctor Arjun daktari wa UNRWA akueleze namna IDF walivyokua wakipiga risasi hovyo mahospitalini na kumjeruhi hadi yeye.
UN human rights watch dog wamefanya uchunguzi na kugunduwa kuna deliberate killing of Civilians hapo Gaza iliyofanywa na IDF.
Pia mtafute Antoine Gutteress umsikilize.
Hata yule France ambassador official aliyeuliwa na IDF kwa mzinga nyumbani kwake southern Gaza alitoa ripoti ya mauaji ya hovyo ya IDF kwa raia.
Ndio maana jiulize kwanini France ilipunguza support yao kwa Israel.
 
Anayoisupport kwa kiwango kikubwa israel ni marekani na sio france
 
Anayoisupport kwa kiwango kikubwa israel ni marekani na sio france
Sijasema kama France pekee ndio anai support Israel.
Kipindi october 7 inatokea FRANCE ilisafiri sambamba na USA na UK kuleta silaha Israel na ikawa ikitoa announcement kuwa Macron ataisapoti Israel mpaka mwisho.
Ila baada ya ripoti ya ambassador official wake alianza kupunguza safari za middle east kuhusu israel na msaada akaanza kuupunguza.
Kafuatilie vita ya 1973,2006 na Gaza invasion 2014 pia na 2005 pia tutamaliza na hili tukio la sasa.
 
Ata nguruwe ni viumbe vyake. Je anapenda Nguruwe?
kasome vizuri biblia kijana uone nani aliwateketeza nguruwe.

Halafu shuhudia kichapo walichochezea mazayuni jana, haijawahi kutokea. Wamepigwa na silaha zao wenyewe:

Mpaka jenerali wao shoga kkakubali kichapo, unajuwa kuwa huyo kamanda ni shoga wa wazi kabisa?
 
kasome vizuri biblia kijana uone nani aliwateketeza nguruwe.

Halafu shuhudia kichapo walichochezea mazayuni jana, haijawahi kutokea. Wamepigwa na silaha zao wenyewe:

View attachment 2880503

Mpaka jenerali wao shoga kkakubali kichapo, unajuwa kuwa huyo kamanda ni shoga wa wazi kabisa?
😂😂😂😂😂 Confirmed nimei confirm sasa hivi aljazeera. vifo vime mount toka 196 mpaka 200+.
 
😂😂😂😂😂 Confirmed nimei confirm sasa hivi aljazeera. vifo vime mount toka 196 mpaka 200+.
Ongeza sifuri zingine hapo.

mazayuni huwa hawafi, wao ni maroboti. Tazama vichapo wanavyochezea mazayuni:

Umemaliza au bado unaongea?

Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa.

Kwa sasa jeshi Takatifu la Israel lipo Al Yunus baada ya kuwaua HAMAS Gaza kama mbu,Iran aliyekuwa kawatuma HAMAS na wewe ulikuwa ukishinda humu kumshangilia,kaufyata mkia, Wapalestina wamekufa kama inzi kwa upumbavu wao wa kuyahifadhi magaidi ya HAMAS.

Tunaua nyoka wa HAMAS na mashimo yao tunayachoma moto na kuyafukia,kwa hiyo basi yoyote aliyemo ndani ya mashimo ya nyoka wa HAMAS lazima afe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jeshi takatifu? Ehh Mungu angalia hii ng'ombe inaongea kitu gani?

Yaani wanajeshi wanaopigwa paipu wanapumuliwa visogoni hadi wanavaa pampas ili mav,i yasimwagike hovyo unaita jeshi takatifu kweli?
 
Idadi ya waliofyekwa jana imepanda kutoka 21 hadi 31
 
Attachments

  • 20240123_160001.jpg
    20240123_160001.jpg
    175.1 KB · Views: 14
⚡️| 🌍 BIG SUMMARY of all resistance operations today, January 22 (2024), against US-israeli forces:

— 🇾🇪 Yemeni Armed Forces:

🔻Targeted a US military cargo ship (OCEAN JAZZ) in the Gulf of Aden with anti-ship missiles.

— 🇵🇸 Al-Qassam Brigades:

🔻(Partially) destroyed 4 Merkava tanks & 1 military D9-bulldozer in various battle zones throughout the Strip.

🔻Targeted an IOF infantry force with an anti-personnel explosive, causing casualties west of Khan Yunis.

🔻Targeted a fortified building of a Zionist special force with a TBG anti-fortification rocket, resulting in casualties south-west of Gaza City.

🔻Sniped an israeli soldier, inflicting direct injury upon him, southwest of Gaza City.

🔻After an IOF tank was targeted by Al-Qassam, a Zionist rescue force tried to rescue the tank from the site of the attack, Al-Qassam forces confronted them and prevented them from advancing towards the vehicle, so IOF jets targeted the tank with several missiles, completely destroying it, including those inside of it (=friendly fire).

— 🇵🇸 Al-Quds Brigades:

🔻Targeted a military vehicle with RPG in the center of Khan Yunis city.

🔻Shelled the military troop concentrations with mortars in the east of Zaytoun neighborhood in Gaza City.

🔻Targeted a gathering of israeli soldiers with a Badr-1 IRAM rocket, east of Al-Maghazi camp, central Gaza Strip.

🔻Clashed with israeli soldiers & military vehicles using various suitable weapons in axes of Khan Yunis.

🔻Shelled a supply route and movements of military vehicles, east of Jabalia, with mortars in a joint-operation with the Al-Qassam Brigades.

🔻Shelled military concentrations of IOF soldiers and vehicles in axes of Khan Yunis with mortars.

— 🇵🇸 Mujahideen Brigades:

🔻Shelled military gatherings, east of Gaza City, with heavy caliber mortars.

🔻Engaged in fierce clashes with IOF forces and military vehicles in axes of Khan Yunis, using diverse and suitable weapons.

— 🇵🇸 Al-Asifah Forces:

🔻Clashed with israeli soldiers using machine guns and RPGs in the city of Khan Younis.

🔻Shelled the military gatherings in the Al-Mahatta area in Khan Younis with heavy-caliber mortars.

— 🇵🇸 Abu Ali Mustafa Brigades:

🔻Shelled military positions, east of Gaza City, with heavy caliber mortars.

— 🇵🇸 Al-Aqsa Brigades:

🔻Targeted an armored carrier (APC) with RPGs, west of Khan Yunis, southern Gaza Strip.

🔻Engaged in intense clashes with israeli soldiers using machine guns and suitable weapons in the axis west of Khan Yunis.

🔻Shelled a military gathering of israeli forces & soldiers in the axis west of Khan Yunis with a barrage of heavy caliber mortars.

— 🟡 Hezbollah:

🔻Thwarted an attempted ground assault by Israeli forces in the vicinity of Zarit barracks.

🔻Targeted a group of israeli soldiers around Al-Rahib site with appropriate weapons.

🔻Targeted an IOF force on the Abu Dujaj heights with appropriate weapons.

🔻Targeted the al-Samaqa site in the occupied Shebaa Farms with rockets.

🔻Targeted a group of israeli soldiers, around the "Even Menachem" settlement with rocket strikes.

— 🇮🇶 Islamic Resistance in Iraq:

🔻Launched 2 missile attacks on the Conoco US base in Syria at different times.

🔻Attacked the US Ain al-Assad base in western Iraq with suicide drones.

🔻Attacked the Conoco US base with missiles for the 3rd time today.

🔻Launched a suicide drone toward the port of Ashdod in Occupied Palestine.

This list did not include rockets fired from Gaza towards settlements.
 
Back
Top Bottom