ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,347
- 20,026
Mbona hueleweki kwa hiyo mtu akisha kuwa muovu basi huyo hajaubwa na mungu?Hii ni sawa na kusema kwahiyo Mungu aliumba walevi,wezi,mashoga,makahaba,wavuta bangi.......skia nikueleweshe kidogo Mungu aliumba vitu safi lakini watu huja kujialibu wenyewe kwa mitazamo yao na vishawishi vya shetani kwahiyo huwezi ona mwizi ukasema tumuache tu eti kwa sababu kaumbwa na Mungu.
Na ndiyo hvyo hvyo kwa majini pia Mungu hajaumba majini ila majini ni matokeo ya kutoshika Amri za Mungu na Mungu akawatimua....Tatizo kitabu chenu kina historia fupi sana ya mambo.
Majini ni viumbe wakati wizi na ulevi ni tabia na vitendo sasa utavifananishaje?
Kila kiumbe hali na kisicho hai vimeubwa na Mungu na ndio maana atakuwa na uwezo wa kuwahukumu viumbe wote kutokana na matendo yao.