Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Hapo ndiyo mnapokosea.
Kusema eti ubaya unatoka kwa Mungu.
Ndugu yangu Mungu siku zote anatuwazia Mema lakini kwa sababu shetani na majini ambao wote kwa ujumla walimuasi Mungu ndiyo vyanzo vya matatizo kwa watu lakini kwa sababu Mungu yupo ndiyo anatusaidia.
Kama ni kweli hujawahi enda kwa mganga endelea na imani hiyo itakusaidia sana maana 100% waganga ni wachawi sema ni idara tofauti tu........Alafu kuhusu uumbaji ni kweli kila kitu kimeumbwa na Mungu lakn kadri kilichoumbwa kinavyozidi kuendelea kinaweza kumuasi Mungu na kuwa kinyume nae ndy hayo majini sasa maana mara ya kwanza yalikuwa maraika.
Tunaposema mema na ubaya pia vyote vinatoka kwa Mungu hatumaanishi Mungu hatuwazii mema laa hasha.
Tunamaanisha halimpati mtu jambo isipokuwa kwa ruhusa yake.Likiwa jema basi neema na likiwa baya basi ni majaribu ya Muumba ili tumrejee na kumkumbuka.
Hata huyo mchawi akuloge vipi kama Mungu hajaruhusu haurogeki ila akitaka unaweza kurogeka ili iwe ni jaribu la kumkumbuka na kurudi kwake.
Maana kuna vitu viwili binadam tunavikumbuka matatizo yakitupata kwanza eidha tuseme Mungu wanguuu ama tuseme mama yanguuu.
 
Wewe unamuabudu Mungu gani na Judaism wanaabudu Mungu gani?

Au huko mnapoenda kuuziwa chumvi na maji ndio hua mnaongopewa kua mnachokiabudu nyinyi ndio hicho hicho pia kinaabudiwa na Judaism?

Sasa kwa akili hiyo hata nikikuelewesha huwezi kuelewa kitu coz akili yako imefungwa na manabii uchwara,unapelekeshwa tu kama kondoo mbugani.
We ni muislamu jikite kwenye dini yako mambo ya ukristo waachie wakristo wenyewe
Unaumia kusikia wakristo na wayahudi wanaabudu Mungu mmoja hiki ni kituko
 
We ni muislamu jikite kwenye dini yako mambo ya ukristo waachie wakristo wenyewe
Unaumia kusikia wakristo na wayahudi wanaabudu Mungu mmoja hiki ni kituko
Wewe pimbi usiye na akili nilijua tu usingeweza kujibu maswali yangu,hapo nimekupa maswali mepesi tu unarukia mambo mengine,ndio maana nilikwambia toka mwanzo kua huna akili ya uelewa,unarukia mada inayohitaji akili wakati wewe ni empty set tu,siku nyingine kwenye mada kama hizi uache kujipitisha huku unatingisha trako.
 
Israel hawana uwezo wa kuwaokoa mateka na sio Israel tu hata taifa lolote wasingeweźa sababu ni moja. HAMAS wana mtandao wa mahandaki wa 500km underground, US alishindwa vita na Vietnam kwa sababu Vietnam waliluwa na mtandao wa mahandaki wa 250km.

USHINDI mkubwa kwa hamas ni kufanikisha kujenga huo mtandao wa 500km, na hao Israel hawakuwa wanajua kama kuna mtandao mkubwa kiasu hicho.

Pia katika vita huwezi tumia kila silaha kama unavyotaka wewe maana kuna sheria za kimataifa zitakubana.
Ila kiongozi IDF imetumia silaha takriban zote kasoro Nuclear bombs tu.
Mpaka white phosphorus wametumia mkuu.
Yani silaha ambayo hajatumia ni nuclear tu.
 
Thibitisha kuwa mimi ni mwislamu. Kumbe unaandika uongo kwa lengo la kubishana na unaamini kila anaekukosoa ni mwislamu. Pole sana, endelea kubishana mkuu
Hako katoto kapuuzi sana,akili hakana wala hakajielewi kanajadili nini hapa,yani kanajipitisha pitisha tu hapa ili mradi kasisahaulike kua na kenyewe kapo humu JF.
 
Wewe pimbi usiye na akili nilijua tu usingeweza kujibu maswali yangu,hapo nimekupa maswali mepesi tu unarukia mambo mengine,ndio maana nilikwambia toka mwanzo kua huna akili ya uelewa,unarukia mada inayohitaji akili wakati wewe ni empty set tu,siku nyingine kwenye mada kama hizi uache kujipitisha huku unatingisha trako.
SIWEZI kukujibu wewe ni muislamu
Ni kama mimi nianze kupangia wahindu au budha kwamba huyu si Mungu wenu bali ni yule

Nilishakuambia endelea kutukana sababu hayo matusi yako hayanipunguzii chochote
 
Kitu

Mnachoshindwa kuelewa israel hata ichangiwe na Dunia nzima hawawezi kushinda maana lile ni Taifa Teule.
😂😂😂😂😂 Siko upande wa dini.
Ila kiuhalisia Israel kashindwa millitarya mission takriban 5.
Kama unataka tuzungumze kwa facts nazileta hizo millitary missions Israel alizofeli.
 
Hako katoto kapuuzi sana,akili hakana wala hakajielewi kanajadili nini hapa,yani kanajipitisha pitisha tu hapa ili mradi kasisahaulike kua na kenyewe kapo humu JF.
Usitumie nguvu kubwa sana ili uonekane una akili
we ni mtukanaji na mropokaji unachojua tu ni kutukana nani asiyekujua
 
SIWEZI kukujibu wewe ni muislamu
Ni kama mimi nianze kupangia wahindu au budha kwamba huyu si Mungu wenu bali ni yule

Nilishakuambia endelea kutukana sababu hayo matusi yako hayanipunguzii chochote
Piga kimya kuficha upumbavu wako kenge wewe,umegeuka kituko hapa,hapo mwenyewe unajiona Yahudi mweusi anayeishi kwa shemeji yake,uache na kuquote comment zangu,si deal na mapunguani kama wewe usiye na akili.
 
😂😂😂😂😂 Siko upande wa dini.
Ila kiuhalisia Israel kashindwa millitarya mission takriban 5.
Kama unataka tuzungumze kwa facts nazileta hizo millitary missions Israel alizofeli.
Kashindwaje nawakati hao hamas wanatumia shekeli ya israel mahitaji yao yote wanayapata israel

Kama israel angekua ameshindwa kushingua na kilio kutoka kwa watu wengine
 
Piga kimya kuficha upumbavu wako kenge wewe,umegeuka kituko hapa,hapo mwenyewe unjiona Yahudi mweusi anayeishi kwa shemeji yake,uache na kuquote comment zangu,si deal na mapunguani kama wewe usiye na akili.
Hii forum sio yako huwezi pangia watu anzisha yako ndo upangie watu
Nakuquote kama kawaida huwezi potosha vitu tukakaa kimya

Yaani we muislamu uanzie kuniambia flani sio Mungu wako jikite kwenye dini yako ya uislamu

Alafu endelea kuporomosha matusi sababu hiki ndo unachokijua
 
Ila kiongozi IDF imetumia silaha takriban zote kasoro Nuclear bombs tu.
Mpaka white phosphorus wametumia mkuu.
Yani silaha ambayo hajatumia ni nuclear tu.
Mkuu wala mimi sijabisha. Nimeeleza tu kilicholeta huo ugumu.

Kwenye mfano wa silaha tuwe wa kweli likidondoshwa nuclear bomb hapo still Hamas watakuwepo? Ukipata jibu la hilo swali ndicho nilchomaanisha kuhusu siraha na sheria za vita.
 
Hii ni sawa na kusema kwahiyo Mungu aliumba walevi,wezi,mashoga,makahaba,wavuta bangi.......skia nikueleweshe kidogo Mungu aliumba vitu safi lakini watu huja kujialibu wenyewe kwa mitazamo yao na vishawishi vya shetani kwahiyo huwezi ona mwizi ukasema tumuache tu eti kwa sababu kaumbwa na Mungu.
Na ndiyo hvyo hvyo kwa majini pia Mungu hajaumba majini ila majini ni matokeo ya kutoshika Amri za Mungu na Mungu akawatimua....Tatizo kitabu chenu kina historia fupi sana ya mambo.
Kuna majini wazuri wanaswali na kumuabudu Mungu vizuri tu na mimi nimewahi kuwashuhudia.
Unapotaja hizo tabia za ulevi,ushoga na kadhalika hizo ni tabia sio kiumbe.
Sisi tunaamini Mungu kaumba malaika kwa nyota,jini kwa moto na binadamu kwa udongo.
Majini ndio walioanza kupewa uendeshaji dunia kabla hawajaasi na kuwa mashetani.
Kwetu sisi binadam ama jini aliyeasi basi hao ni mashetani.
Maana ushetani ndio hubeba nafsi chafu ya maovu.
Kwetu sisi malaika hawaasi ni watu wa kupokea amri za Mungu tu.
 
Hii forum sio yako huwezi pangia watu anzisha yako ndo upangie watu
Nakuquote kama kawaida huwezi potosha vitu tukakaa kimya
Acha kunishobokea mimi sitafuni machoko mbona unanilazimisha,wewe pimbi ndiye unayepotosha hapa,hivi na wewe una akili ya kujua anayepotosha na aliye sawa? Wazazi wako wamekula hasara kubwa sana.
 
Kashindwaje nawakati hao hamas wanatumia shekeli ya israel mahitaji yao yote wanayapata israel

Kama israel angekua ameshindwa kushingua na kilio kutoka kwa watu wengine
We unaelewa nini unapoambiwa kushindwa kaka??
Kushindwa hakupimi idadi ya vifo vitani ama uharibifu bali kunatizama malengo ya misheni na kutimia kwake.
Uko njema tuzijadili hizo misheni?
 
Acha kunishobokea mimi sitafuni machoko mbona unanilazimisha,wewe pimbi ndiye unayepotosha hapa,hivi na wewe una akili ya kujua anayepotosha na aliye sawa? Wazazi wako wamekula hasara kubwa sana.
Endelea kutukana usichoke tema nyongo yote
Unafikiri unaweza tishia watu kwa kuwatukana matusi
Hakunaga tuzo ya kutukana matusi
 
Mkuu wala mimi sijabisha. Nimeeleza tu kilicholeta huo ugumu.

Kwenye mfano wa silaha tuwe wa kweli likidondoshwa nuclear bomb hapo still Hamas watakuwepo? Ukipata jibu la hilo swali ndicho nilchomaanisha kuhusu siraha na sheria za vita.
Ila kiuhalisia kaka IDF ground battle hawaziwezi.
Nimetizama video moja pale khan younis hao hamas wanavyopiga shaba aisee ni hatari.
Siongei ushabiki Israel jeshi la anga ndio jeshi bora ulimwenguni labda China anaweza mshinda ila ukija kwa ground battle hawawezi kuhimili.
 
Back
Top Bottom