jumba adebayor
Member
- Jan 25, 2018
- 30
- 25
Eti majini viumbe wa Mungu..mbona yakiwakaba hamuendi kwa Mungu kumwambia kuwa viumbe wake wanafanya vurugu ila mnakimbilia kwa waganga kila kukicha ma huku idadi yenu inapungua kwa kuuliwa na majini.๐๐๐๐๐๐๐.
Mungu hajasema anachukia nguruwe ila katuharamishia kula nguruwe.
Kama angekua hampendi nguruwe asingempa riziki maana kila kiumbe hai kinaruzukiwa na Mungu.
Ila hata majini ni viumbe wa Mungu mbona ninyi wakristo mnawapinga kuwa sio viumbe wa Mungu?