Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?

Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?

Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka? Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora

Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya nusu ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?

Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu?

Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?

Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
Hao Wazayuni hatutaki kuwatakia mabaya, ila WE REAP WHAT WE SOW...
NA WAO YATAWAFIKIA TENA KAMA WANAVYOWAFANYIA BINADAMU WENZAO..
TIME WILL TELL...
 
Ahadi kutoka kwa Allah Jehna kutakuwa hakuna kununua wala kuuza kutakuwa na soko ambalo kuna vyumba na kila chumba pamewekwa picha za watu wanaume kwa wanawake watakaopenda picha zilozo mirangoni mwa vyumba vya markiti wanaingia humo na kumaliza haja zao za kimapenzi.. huu ni uribelari wa Allah kuwafirisha huko mbinguni kama hadithi ni ya kweli.. kutakuwa na mito ya Pombe hii haiingii kabisa akilini. Yaani Duniani mkatazwe Pombe and mbinguni patakatifu Pombe bwerere.. hebu tuambieni kama ni kweli uislam unafundisha haya yanayoaminika ni kazi ya shetani duniani.. kama kweli basi Shetani anasingiziwa mabaya kumbe yeye ndie victim kwa Allah.. naomba kanusho
 
Pande zote za kuzionea huruma.

Ila pande isiyo na economic prosperious ni ya kuionea huruma zaidi.

Imagine mmoja anasaidiwa na super economy (USA) mwingine anasaidiwa na maskini wa mashariki ya kati (Irani).
Umesema IRAN ni Maskini wa mashariki ya kati, inakuwaje Israel anatolewa jasho na Maskini...? Au Mungu wao mbaguzi amewasahau..?
 
Ahadi kutoka kwa Allah Jehna kutakuwa hakuna kununua wala kuuza kutakuwa na soko ambalo kuna vyumba na kila chumba pamewekwa picha za watu wanaume kwa wanawake watakaopenda picha zilozo mirangoni mwa vyumba vya markiti wanaingia humo na kumaliza haja zao za kimapenzi.. huu ni uribelari wa Allah kuwafirisha huko mbinguni kama hadithi ni ya kweli.. kutakuwa na mito ya Pombe hii haiingii kabisa akilini. Yaani Duniani mkatazwe Pombe and mbinguni patakatifu Pombe bwerere.. hebu tuambieni kama ni kweli uislam unafundisha haya yanayoaminika ni kazi ya shetani duniani.. kama kweli basi Shetani anasingiziwa mabaya kumbe yeye ndie victim kwa Allah.. naomba kanusho
Ndiyo mafundisho ya Parokia yenu hayo ??
 
Na mimi naomba Oktober 7 2024 hamas wafanye tena.

Nafurahi kuona kizazi kinacho unga mkono Hamas kinazidi kuangamia.

Sasa wameangamia watu 25,000 plus.
Hujui Historia wewe....
HAMAS wapo na watendelea kuwepo na kila mwaka wana advance, hawa jamaa wakipata Air defense system, Fighter jet na Ground equipment ( Vifaru) amini nakwambia hilo taifa teule la Mashoga lita pata tabu sana.
 
Umemaliza au bado unaongea?

Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa.

Kwa sasa jeshi Takatifu la Israel lipo Al Yunus baada ya kuwaua HAMAS Gaza kama mbu,Iran aliyekuwa kawatuma HAMAS na wewe ulikuwa ukishinda humu kumshangilia,kaufyata mkia, Wapalestina wamekufa kama inzi kwa upumbavu wao wa kuyahifadhi magaidi ya HAMAS.

Tunaua nyoka wa HAMAS na mashimo yao tunayachoma moto na kuyafukia,kwa hiyo basi yoyote aliyemo ndani ya mashimo ya nyoka wa HAMAS lazima afe.
Vichekesho kama hivi vinapatikana wapi😂😂😂?
 
Nimekuwa nikifatilia huu mzozo kwa uchache sana.
Genocide ziko planned wakuu. Hamas attacked jews on october 7 and killed 1k civillians. In turn jews wanauwa 20ks. Ipo siku mtakuja kutambua kuwa hata seniors wa HAMAS ni agents wa MOSSAD.
Hapo IRAN walishakuwa na rais ambae ni agent wa MOSSAD. Mark my words KAJUGA alikuwa anatoa full support kwa INTARHAMWE ya BAGASORA ila anatoa taarifa tena kwa INKONTANYI ya PK
 
Tofauti ipo Kati ya Mungu wa wakristo ambae kasema ulinzi wao ni malaika na mungu wa waislamu ambae kasema ulinzi wa waislamu ni majini

Soma
Wakristo wanalindwa na Malaika
Psalm 91:11”For He will give His angels charge concerning you, to guard you in all your ways.

Waislamu wanalindwa na mapepo
Allah anasema
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
Binadamu analindwa na Mungu na sio majini acha ujinga hata ww pamoja na maovu yako unalindwa na Mungu.
 
Askari 8,000?

Leta link ya Haretz inayosema hayo.
Tizama Aljazeera,CGTN e.t.c.
We unataka uletewe link kwa kila kitu!?
Asa unabisha?Ndio askari 8k walemavu wa kudumu kulingana na vita ya Gaza.
Tizama habari kijana.
 
Pande zote za kuzionea huruma.

Ila pande isiyo na economic prosperious ni ya kuionea huruma zaidi.

Imagine mmoja anasaidiwa na super economy (USA) mwingine anasaidiwa na maskini wa mashariki ya kati (Irani).
We kijana unachekesha.
Hiyo Iran ina uchumi mkubwa kuliko taifa lolote hapa Afrika.
Sio hivyo tu Iran ni Middle income country.
Licha ya kuwekewa vikwazo zaidi ya miaka 40.
Inamaana Iran ina ubavu kuliko hiyo Israel inayosaidiwa bajeti yake ya bunge na jeshi kutoka USA.
Jiulize Iran isingewekewa vikwazo ingekua wapi.
Asa hv tu middle income na ina vikwazo tele.
 
Binadamu analindwa na Mungu na sio majini acha ujinga hata ww pamoja na maovu yako unalindwa na Mungu.
mungu Allah yeye amewawekea ulinzi wa mapepo waislamu

Allah anasema
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
 
Kuna umuhimu gani wa kuokoa mateka mapema kabla hawajamaliza kusababisha uharibifu na mauaji ya ziada>?

Tumia akili utagundua kuwa kuokoa mateka hakuto instill fear na kuweka heshima.

Kufanya uharibifu na kuua watu zaidi ndio kutasaidia kuzuia shambulizi lingine la oktoba 7.

Mateka baadae.


Mbele ya Netanyahu mateka hawana umuhimu (Hawezi sema hivi mbele overtly) ndio maana alikataa mapendekezo ya Hamas ya kusitisha vita kuridisha mateka wa ndani ya israel na kuruhusu 2 state solution.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kwa hizi akili hufai kujadili geopolitical issues.
MATEKA WANA UMUHIMU KULIKO CHOCHOTE KIJANA.
Rejelea 2014 Netanyahu aliachilia zaidi ya wafungwa 4k wa kipalestina kwaajili ya askari mmoja tu wa IDF.
Anaogopa two state solution kwasababu anajua hatoweza kuwa control Palestines na pia kama ikitokea kawafanyia ukandamizaji basi atakula kibano.
Maana Palestina ikiwa nchi tegemea iwe na silaha na wanajeshi hivyo Israel settlement expansion itakufa kijana na hawataweza wadhibiti Palestines.
Kama mateka wasingekua muhimu asingeomba usitishwaji vita wa miezi miwili ili mateka warudi wa pande zote mbili.
 
Hiki ndiko kilicho mfanya mtume awaagize wana dini wote wawachukie waisrael.
Hakuna mahali uislam uliagiza kuchukia upande mwingine.
Uislam unaagiza kupinga tabia za mtu sio kumchukia mtu.
 
Ni kweli kabisa na nzuri zaidi ni kuwa baada ya Wayahudi jamii inayofata kwa idadi ni Waislam so siwezi kushangaa maana ndugu zangu (wajukuu wa mudi) mmebobea kwenye ufirauni!
Kuwazidi wagalatia mnaobarikiwa ufiranaji makanisani??
Hiyo Israel inasapoti ushoga na wagalatia pia wanapiga chapuo makanisa yabariki ushoga.
Uliskia wapi uislam unabariki ushoga ?
 
Itafute elimu dunia ili ujenge uwezo wa kupambana kwa hoja na si vihoja vya madrasa! Mudi hakujua kusoma wala kuandika, bilashaka wajukuu zake mnapita mulemule!
Bora sie wajukuu wa Mudi tuna reasoning kuliko ninyi ambao mnaamini uzao wa Mungu ni huo uzao wa watu wafiranaji ,wasagaji na watu wanaompinga Kristo.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-24-11-42-28-33_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-01-24-11-42-28-33_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    116.4 KB · Views: 8
  • Screenshot_2024-01-24-11-42-06-29_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-01-24-11-42-06-29_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    102.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_2024-01-24-11-42-49-46_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-01-24-11-42-49-46_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    121.3 KB · Views: 8
Back
Top Bottom