Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?

Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?

Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka? Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora

Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya nusu ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?

Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu?

Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?

Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
 
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa...
Umemaliza au bado unaongea?

Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa.

Kwa sasa jeshi Takatifu la Israel lipo Al Yunus baada ya kuwaua HAMAS Gaza kama mbu,Iran aliyekuwa kawatuma HAMAS na wewe ulikuwa ukishinda humu kumshangilia,kaufyata mkia, Wapalestina wamekufa kama inzi kwa upumbavu wao wa kuyahifadhi magaidi ya HAMAS.

Tunaua nyoka wa HAMAS na mashimo yao tunayachoma moto na kuyafukia,kwa hiyo basi yoyote aliyemo ndani ya mashimo ya nyoka wa HAMAS lazima afe.
 
Umemaliza au bado unaongea?
Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa...
85 unaijuwa kweli

Wamejuwa walipofichwa mateka eti watawauwa wote lete ushahidi wa unachoongea usiniletee story za kwenye mabanda ya mabati hapa
 
Lengo la Israel sio "KUIWEZA HAMAS"

Wanafahamu kabisa kuwa HAMAS ni IDEALOGY.

Kimsingi wanalenga zaidi KU_MAKE STATEMENT.

Baada ya mauaji na uharibifu wanao ufanya GAZA sidhani kama patatokea na Oktoba 7 nyingineyo.

They instill FEAR of whats to come if you https://jamii.app/JFUserGuide with them again.
 
Umemaliza au bado unaongea?
Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa.
Kwa sasa jeshi Takatifu la Israel lipo Al Yunus baada ya kuwaua HAMAS Gaza kama mbu,Iran aliyekuwa kawatuma HAMAS na wewe ulikuwa ukishinda humu kumshangilia,kaufyata mkia, Wapalestina wamekufa kama inzi kwa upumbavu wao wa kuyahifadhi magaidi ya HAMAS.
Tunaua nyoka wa HAMAS na mashimo yao tunayachoma moto na kuyafukia,kwa hiyo basi yoyote aliyemo ndani ya mashimo ya nyoka wa HAMAS lazima afe.
israel ni mjumuiko wa mashoga , wasagaji, na makahaba
 
Wacha weee Yahudi mweusi wa Nzega,unajua sana kujifariji,

Hivi inakuaje unawashobokea watu waliomuua Mungu wako?
 
Umemaliza au bado unaongea?
Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa.
Kwa sasa jeshi Takatifu la Israel lipo Al Yunus baada ya kuwaua HAMAS Gaza kama mbu,Iran aliyekuwa kawatuma HAMAS na wewe ulikuwa ukishinda humu kumshangilia,kaufyata mkia, Wapalestina wamekufa kama inzi kwa upumbavu wao wa kuyahifadhi magaidi ya HAMAS.
Tunaua nyoka wa HAMAS na mashimo yao tunayachoma moto na kuyafukia,kwa hiyo basi yoyote aliyemo ndani ya mashimo ya nyoka wa HAMAS lazima afe.
 
Attachments

  • Screenshot_20231208-110331_Gallery.jpg
    Screenshot_20231208-110331_Gallery.jpg
    86.3 KB · Views: 3
Sawa, Jee wameokoa hata.mateka mmoja
Oparesheni bado inaendelea.

Mabosi wa Hamas wanao kula bata Qatar wanaona majeshi yao yanazidiwa nguvu na kusogolewa ndio wakaamua kuomba msaada UN na ICJ isitishe vita ili mateka wasiokolewe.

Mchezo huo Bwana Netanyahu keshausoma. Akasema iwe jua iwe mvua, vita haitokwisha na kama ikiweekana itaendelea mpaka 2025.

Ni suala la muda tu.
 
Lengo la Israel sio "KUIWEZA HAMAS"

Wanafahamu kabisa kuwa HAMAS ni IDEALOGY.

Kimsingi wanalenga zaidi KU_MAKE STATEMENT.

Baada ya mauaji na uharibifu wanao ufanya GAZA sidhani kama patatokea na Oktoba 7 nyingineyo.

They instill FEAR of whats to come if you JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala with them again.
Katika kitu ambacho ni kigumu ni ku instil fear kwa jamii za waarabu.
Uharibifu Gaza haujaanza leo japo wasasa ni mkubwa zaidi.
Ila ungeona raia wanavyosema kheri kufa kuliko kunyanyasika.
 
Oparesheni bado inaendelea.

Mabosi wa Hamas wanao kula bata Qatar wanaona majeshi yao yanazidiwa nguvu na kusogolewa ndio wakaamua kuomba msaada UN na ICJ isitishe vita ili mateka wasiokolewe.

Mchezo huo Bwana Netanyahu keshausoma. Akasema iwe jua iwe mvua, vita haitokwisha na kama ikiweekana itaendelea mpaka 2025.

Ni suala la muda tu.
Hamna lolote.
Ndio kwanza IDF wanapunguza majeshi Gaza kwaajili ya kupunguza gharama za uendeshaji vita.
Pia mpaka sasa hakuna dalili ya mateka kujulikana walipo asahv hapa natizama aljazeera Hamas na IDF wanajibizana mashambulizi makali sana northern Gaza.
 
Oparesheni bado inaendelea.

Mabosi wa Hamas wanao kula bata Qatar wanaona majeshi yao yanazidiwa nguvu na kusogolewa ndio wakaamua kuomba msaada UN na ICJ isitishe vita ili mateka wasiokolewe.

Mchezo huo Bwana Netanyahu keshausoma. Akasema iwe jua iwe mvua, vita haitokwisha na kama ikiweekana itaendelea mpaka 2025.

Ni suala la muda tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20231208-110313_Gallery.jpg
    Screenshot_20231208-110313_Gallery.jpg
    127.8 KB · Views: 4
Oparesheni bado inaendelea.

Mabosi wa Hamas wanao kula bata Qatar wanaona majeshi yao yanazidiwa nguvu na kusogolewa ndio wakaamua kuomba msaada UN na ICJ isitishe vita ili mateka wasiokolewe.

Mchezo huo Bwana Netanyahu keshausoma. Akasema iwe jua iwe mvua, vita haitokwisha na kama ikiweekana itaendelea mpaka 2025.

Ni suala la muda tu.
huyo Bwana wako Netanyahu ni shoga tu mbele ya Hamas, wale wanaume wa Hamas achana nao, kuna mmoja alifungwa Jela na mayahudi unaambiwa alitomba walinzi wote wa kike tena walikua wanajipeleka wenyewe ilibidi waondoshwe wote, achana na wanaume wa Hamas ww bwabwa.
 
Umemaliza au bado unaongea?
Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa.
Kwa sasa jeshi Takatifu la Israel lipo Al Yunus baada ya kuwaua HAMAS Gaza kama mbu,Iran aliyekuwa kawatuma HAMAS na wewe ulikuwa ukishinda humu kumshangilia,kaufyata mkia, Wapalestina wamekufa kama inzi kwa upumbavu wao wa kuyahifadhi magaidi ya HAMAS.
Tunaua nyoka wa HAMAS na mashimo yao tunayachoma moto na kuyafukia,kwa hiyo basi yoyote aliyemo ndani ya mashimo ya nyoka wa HAMAS lazima afe.
God Bless Israel
 
Back
Top Bottom