demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,289
Hamna lolote.
Ndio kwanza IDF wanapunguza majeshi Gaza kwaajili ya kupunguza gharama za uendeshaji vita.
Kama kupunguza majeshi Gaza ndio kuacha Vita.
Kwanini idadi ya vifo inaendelea kuzidi huko ktk ukanda wa GAZA?
Leo wameingia KHAN YOUNIS wanaendelea kukinukisha.