mizy gajo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 801
- 888
aaah mkuu hapo mbele ndo mafundi sana yani ni hatari ndo kule hadi masela wanabeba mimba we acha tuuh...wakiingia brazil na india wakawanyoa wale wamama wakihindi ile minywele wanaweza kuja kupiga pesa mingi sana.
hasa kwa wale wadada magwiji wa kuvaa mawigi aka Nywele za marehemu.
Tatizo machawi karibu yote majingamajinga hayafikiri nje ya boksi.