Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,986
- 189,584
Mshana Jr mbona anauchezea kama messi auchezeapo mpiraMkuu uchawi " Acha tu" nikitu kibaya kuliko jambo lolote duniani
Mshana Jr mbona anauchezea kama messi auchezeapo mpiraMkuu uchawi " Acha tu" nikitu kibaya kuliko jambo lolote duniani
haina noma kaka karibu kijiweni japo flyover almost kama daraja😀mwanangu nilikuwa namalizia malizia ujenzi wa flyover pale Tazara
hahahahaaaghh mkuu uchawi elimu yake ni sawa na bahari"... asikudanganye mtu"... sisi tushukuru tu kuwa tunaishi kwenye miji iliyoendelea" So kuna uhaba mkubwa wa hayo mambo ''...
😀 sina familia....bangi isiyokomaa naipika kama mboga..!karibu uwe mmoja wa familia yangu..Wewe unayeongea hivi. Una familia kweli kwa bangi hii isiyokomaa. Teh teh tehhh
hahahahaaa pamoja sanahaina noma kaka karibu kijiweni japo flyover almost kama daraja😀
Hadi muda huu sijajibiwa hahahahahwakikujibu nitag?
nilikuham mkuu
HahahahaaNilishawai Nyolewa vuzi, hadi leo hazioti. nipo kama mtoto vile lainiiiiiiiiiiiii