Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 780
Sana na asante now simwogopi mchawi yoyote.... niko na Yesu tuu.
Amina mtumishi wa Mungu. Ukisimama kwenye maombi wachawi wanaanza kukuita wewe ndo mchawi maana unakuwa kwenye viwango vingine ambavyo nao vinawachanganya!!!!! Mungu yupo na anafanya Kazi na wanaomhitaji!!!