Tuliowahi kurogwa tupeane uzoefu

Tuliowahi kurogwa tupeane uzoefu

Mkuu ilikuwaje?
Maana hwa binadamu sumbufu Bila kuwashikisha adabu watajisahau kuwa yupo Kiboko yao mtoto wa Daudi.
Uzuri wa kuwa karibu na Mungu wachawi hata mkikutana njiani anabadilisha njia, hataki kabisa kukuangalia usoni anaunguzwa! afu kizuri zaidi wote wanaokusumbukia na kukuchawia unafunuliwa na kuwajua. sasa ukishawajua unakaa pembeni na kubaki kuwaangalia wanavyoweweseka tuu!!! Ni story ndefu sana mkuu!
 
Hapana, ikiwa mfukoni inakuwa ndogo kulingana na nafasi, lakini ikitoka nje inakuwa kubwa tayari kwa kufanya mashambulizi. Ni kama uume ukiwa tayari kufanya zoezi la kupata watoto.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu na wewe mchawi au? Toa mchango bhana
Mkuu, nina ndugu wa karibu sana alikuwa anaumwa goti. Alienda hospitali akapewa dawa lakini wapi, goti liliendelea kuuma tu. Ikabidi waende kwa mtaalamu kwa 'kununa'( kuchanja sehemu inayouma na kunyonywa kwa mdomo na huyo mtaalam ili kutoa kitu kinachomsumbua mgonjwa. Watu wa dodoma nadhani wanafahamu vizuri huu utaalam.). Basi bwana alivyo'nunwa' ikatoka sindano kwenye goti na kuanzia hapo goti likapona hadi leo.
Wachawi sio watu wazuri.
 
Nilipigwa biti mahala nikaambiwa nimepewa muda wa maangalizi wa miezi miwili baada ya hapo ni kurogwa kwa kwenda mbele. Kwa kweli baada kipindi cha mpito niliamka siku ile nywele zimenyolewa hadi kakipara flani kakaonekana juu ya kisogo.

I say afadhali wewe ulirogwa nywele zikakusimama tu. Mimi nilirogwa girl friend wangu nilikuwa nampa hela nyingi kuliko mama yangu mzazi! Mama akiomba hela ya mboga nampa 3000, girl friend akiomba hela ya chips nampa 20,000. I say kuna wasichana wachawi usiombe!
 
I say afadhali wewe ulirogwa nywele zikakusimama tu. Mimi nilirogwa girl friend wangu nilikuwa nampa hela nyingi kuliko mama yangu mzazi! Mama akiomba hela ya mboga nampa 3000, girl friend akiomba hela ya chips nampa 20,000. I say kuna wasichana wachawi usiombe!
Hahahaha daaaah
 
I say afadhali wewe ulirogwa nywele zikakusimama tu. Mimi nilirogwa girl friend wangu nilikuwa nampa hela nyingi kuliko mama yangu mzazi! Mama akiomba hela ya mboga nampa 3000, girl friend akiomba hela ya chips nampa 20,000. I say kuna wasichana wachawi usiombe!
Hivi mtu akilogwa huwa anajua?

Sidhani I say, maana mimi nilikuja kujijua nimerogwa pale tu nilipomfumania girl friend wangu na jamaa mwingine.
 
Halafu, naomba kuelewa. Ni "kurogwa " au "kulogwa "?Kiswahili shida sana.
Ni kurogwa. Yaani walozi wanaroga. Kuloga sio matusi kweli, kwenye kabila fulani🙂🙂🙂

1538139303472.png
 
Umenikumbusha chuo kuna mwanafunzi alisimamishwa kujibu swali mbele ya darasa, katika kutoa karatasi mfukoni akadondosha bonge la hirizi, kama kikapu cha sokoni, halafu ye hakushtuka.

Wakati anaaondoka kwenda kukaa baada ya kumaliza yaliyompeleka mbele. Lecture akaliona (Lecture mtu mzima sanaa na alikua mtata kinoma yani). Ila siku hio aliongea kwa upole sana kwa mara ya kwanza, uoga wa kuiona ile POWER BANK ilivyokubwa. Ikabidi amwite kwa upole "Bro umesahau zana yako kwenye stage".

Jamaa hakuonesha nidhamu ya uoga, mdogo mdogo akarudi na kuiokota tena kwa swagger aisee. Ma Lecture/Wanafunzi tulikua tunamuogopa jamaa kama gonjwa la UKIMWI, maana muda wowote unajua ukimzingua kina nuka.

Darasa zima tuliangua kicheko, hatari
Hii kachumbali yako umetia na sukari
 
ifike kipindi huu uchawi tuu`advance kwa ajili ya maendeleo endelevu ya mazingira yanayotuzunguka..
ili kila mtu anufaike nao,sio unakuwa mchawi,kazi yako kukaba watu waliojipumzisha baada ya mahangaiko ya kutwa nzima,afu unajisifia uchawi,kweli hili ni bara la giza...ndio maana pia kila kitu kizuri kuhusu dini walikifanya weupe,sisi hatukupigiwa chapuo sababu ya upuuzi wetu.
Uchawi ni nguvu hasi, kazi kuu ni kuharibu sio kujenga, uchawi, ushirikina ni pacha na umasikini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom