Tuliowahi kurogwa tupeane uzoefu

Tuliowahi kurogwa tupeane uzoefu

Haahaa umenichekesha mkuu ulivyowaita et ni wapuuzi...lakini mkuu unajua hawa wenzetu muda mwingine wanachukua kukutia pressure tu siyo kukuroga kwahyo wanaweza kuchukua kwa lengo la kukuonya
mkuu kwli hiyo janja nimeisoma vyema.
ndio maana huwa wanaacha kulala na wake/waume zao wanapanda kwenye mabati wanakwaruzaa na vitimbi kibao kisha wanarudi kulala.
huu sio upuuzi mkuu. au wanakuwaga wako kwenye mafunzo ya vitendo bado hawajagraduate kuwa na ulozitija . hahahaa
 
Ila hawa ukiona kaingia huko ujue yupo tayar kakamilika huyo,maana ukiingia kizembe zembe kuna watu wamejikonki ukiingia vibaya unajikuta watu wamekuzunguka wanakukodolea macho
 
mwambie mchawi wako aje na kwangu, na mimi aninyoe lisiote tena
Kumbuka kuna vuzi liko chini chini huku karibu na shimo la tewa na mengine yamezunguuka hilo shimo.. si unajua kuna mbolea huko. Sasa ukinyolewa mpaka huko mirinda itaponab?
 
Hakuna uchawi!!!! hakuna aliye wahi kurogwa na ndio maana kurogwa hakuelezeki kurogwa ni hofu ya murogwaji kurogwa ni upuuzi tu
 
Kumbuka kuna vuzi liko chini chini huku karibu na shimo la tewa na mengine yamezunguuka hilo shimo.. si unajua kuna mbolea huko. Sasa ukinyolewa mpaka huko mirinda itaponab?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
ifike kipindi huu uchawi tuu`advance kwa ajili ya maendeleo endelevu ya mazingira yanayotuzunguka..
ili kila mtu anufaike nao,sio unakuwa mchawi,kazi yako kukaba watu waliojipumzisha baada ya mahangaiko ya kutwa nzima,afu unajisifia uchawi,kweli hili ni bara la giza...ndio maana pia kila kitu kizuri kuhusu dini walikifanya weupe,sisi hatukupigiwa chapuo sababu ya upuuzi wetu.
Mkuu huyo kwenye avatar yako snitch sana, kasababisha hadi leo hatuli kitimoto
 
Nasikia kule nchi za carrebian ndio hakufai kabisa wanaloga hadi wanyama
Mkuu kuna wazungu walikuwa wanajadiliana kwenye forum zao huko ulaya wanasema Geneva uswizi kuna uchawi na majini ya kufa mtu. Hao nao ni wachawi tu sema huwezi ambiwa BBC au VOA
 
mkuu naunga mkono hoja asilimia zote.
Walionje ya Bwana Yesu, na sisi tunaoungaunga tutapata tabu sana.
Ni hakika mkuu. Jina la Yesu lina nguvu hakika! Linawasumbua sana wachawi!!! hii ni kwa kushuhudia kwa macho yangu mwenyewe!
 
Ni hakika mkuu. Jina la Yesu lina nguvu hakika! Linawasumbua sana wachawi!!! hii ni kwa kushuhudia kwa macho yangu mwenyewe!
Mkuu ilikuwaje?
Maana hwa binadamu sumbufu Bila kuwashikisha adabu watajisahau kuwa yupo Kiboko yao mtoto wa Daudi.
 
ifike kipindi huu uchawi tuu`advance kwa ajili ya maendeleo endelevu ya mazingira yanayotuzunguka..
ili kila mtu anufaike nao,sio unakuwa mchawi,kazi yako kukaba watu waliojipumzisha baada ya mahangaiko ya kutwa nzima,afu unajisifia uchawi,kweli hili ni bara la giza...ndio maana pia kila kitu kizuri kuhusu dini walikifanya weupe,sisi hatukupigiwa chapuo sababu ya upuuzi wetu.
Mbona uchawi siku hizi unatumika kiuchumi mfano machuma ulete,usafirishaji wa bidhaa kwa njia ya ungo,kuchukua nguvu za mwingine na kuzitumia wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom