Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Story yangu inaanza kama ifuatavyo baada ya kumaliza shughuli zangu za kuuza chipsi usiku napita karbu na nyumba ya jiran namsikia bwana mifugo akimwambia jiran yangu ambae ngombe wake alkuwa kasha dead amzike Mara moja kwani alkuwa ana anthrax basi nikaendelea kupeleleza nkaona alpomzka walipomaliza walivyoondoka nikaenda mfukua skuwa na gloves nikavaa mifuko ya Rambo maana nlsikia akisema ugonjwa ni hatar unaambukzwa na bacteria aina ya bacillus anthrax sjui kama nimepatia spelling au laa ila hayanihusu basi tuendelee na story basi bwana nikamuosha nikamkatakata vipande kesho nikamuuze mishkak vipande vilivyobakia nikampa mshkaj aweke kwenye freezer lake maana anatuchaj per day bwana nikauza wee mara watu wakaanza kuanguka baada ya kula wengne kutapika na kuhara palepale RAIA waliponishtukia wakaanza nikimbiza na mapanga wengine magongo sauti zilisikika zikisema "lazma tukukate vipandevipande" kwa bahat nzur kulikuwa kuna fuso sjui Lori hata skumbuk vzr lilikuwa linaanza kuondoka sjui lilikuwa linaenda WAP bas bwana nikalidandia baada ya masaa mawil mule ndan ya fuso simu yangu inaita mama mwenye nyumba anasema upo WAP mbona kuna polis wanakutafuta hapa nikakata Sm mara tena simu inaitaa kapiga RFK take yule mshkaj anatuifadhia nyama akasema nyama yako ina nn jamaa alikuibia kdogo kaenda itumia gheto sahiv ninavyokwambia tumemuwahisha hospital nikakata Sm .gar likiwa linaenda ktk kukaguakagua mule ndan nikakuta magunia kuyacheck ndani naona bangi pia kulikuwa na madawa mengne syajui kumbe skudandia fuso nilidandia kifo Mara gar likasimama kumbe hlo eneo kulikuwa na police patrol nkasikia shuken wote tukague gari
Hatar sana
 
Mwezi wa 2 mwaka huu home tulikula chakula chenye sumu(inasemekana ilikua samaki) asubuhi tumeamka ilkua siku ya j2, mke kaamka katoka nje baada dk 10 hv karudi mbio akasema watoto(wapo mapacha) pamoja na mdada wa kazi wanaharisha sana, wakati wanajiandaa kwenda hospitali mara kaja mlinzi aliekuja kumpokea mwenzake anadai mwenzie yupo hoi kaharisha usiku kucha hata kuinuka hawezi (alikua anakula home jioni) wakapigia ndugu zake wakaja na gari ya kampuni wakampeleka hospitali,
Nikapakia mke, dada na watoto nkawapeleka pale kwa hospital kwa mama ngoma, nkarudi home maana alibaki mtoto mdogo,

Baada ya kurudi na mimi nkanza trip mdogo ndogo hadi ikafika namwaga maji tu lkn najiskia poa wala siumwi popote kufika saa 6 nkaona hii hali sio ntaishiwa nguvu maana kila dk toi, nkaanza safari kwenda hospital nkaanza kuhisi nguvu zinaisha, sikuchukua gari nkaenda kupanda daladala niende hospital niliyoizoea ipo kkoo, nimetokea sinza mapambano kufika kwa remi hali ikawa mbaya sana, nkawa nachungulia vibao pembezoni nikionna cha hospital nishuke (sikutaka kwenda Palestina) kufika karibu na kijiweni nkaona kibao nkamwambia konda akanishusha, kufika hospital drip 3 za fastaa huku vipimo vinaendelea, hali ilizidi kua mbaya nilijiskia kufakufa nikawa napiga ule ukuta wa wodini makofi tu mara nkazima mazima kuja kushtuka saa 2 usiku niko vizuri kiasi...
Nashkuru Mungu hakuna aliedhurika zaidi....
Daaah pole sana boss mngechelewa kwenda hospitali ingekuwa msiba mzito
 
Hahaha we utakuwa ulikuwa na kimwili kidogodogo huwa mnakuwa wakorofi halafu nguvu hamna
Ni kweli mkuu, nilikua na kamwili kadogo, afu miaka hiyo ndio mimi na wengine wachache sana tumamaliza la 7 tukiwa na miaka 15 wakati wengi wao ni 17 hadi 20, nikishampasua mmoja najiona naweza nawataka wakubwa kwangu, hatari...
 
Hii lita moja ya kumbikumbi ndio nimeanza kuisikia hapa angesema kilo moja sawa, kimiminika pekee ndo hupimwa kwa lita
Mikoani mbona mawaidaa...!! Ndonya pia zipoo.... Lita moja means kumbukumbi zimepimwa kwenye Kile kilita japo sio kipimo sahihii...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee nimecheka sana maana tukio kama hili lilinitokea nikiwa nakata majani juu ya mti unaoitwa "mhesi" kule Rombo, kumbe nilikuwa nimeshikilia kimti kikavu kikakatika nikashuka kwa kichwa hadi chini phuuh!.
Nilijaribu kuinuka nikae lakini nikashindwa na sauti ya kulia nayo ikawa haitoki. Nikatulia kama dakika moja nguvu zikanijia lakini shingo sidhubutu kuigeuza maana ilikuwa inauma balaa.
Niliposimama nikageuka kumbe pale chini palibakibaki na nywele za kichwani kutokana na kile kishindo nilichoanguka nacho [emoji23][emoji23]
Siku nyingine tena nilitoka shule nikawahi fasta kwenda kupanda juu ya mwembe kujisevia kama ilivyo kawaida yangu, baada ya kula na kushiba hukohuko juu ikawa ni wakati wa kushuka sasa.
Nilikuwa na tabia ya kushuka kwa kutumia matawi ya huo mwembe,, sasa wakati natumia tawi kushuka si likaachia kule juu/likakwanyuka kwa kuzidiwa na uzito! Nilitangulia chini nikiwa nabembea na ule mti hadi chini alafu matawi yake yakanifunika nikalala palepale usingizi mzito hadi usiku wa saa 2 kasoro ndio nilizinduka
 
Kwa hiyo unadhani nimeandika kwa bahati mbaya? Am kweli hum jamiiforums kila mtu ni mkuu
Hii lita moja ya kumbikumbi ndio nimeanza kuisikia hapa angesema kilo moja sawa, kimiminika pekee ndo hupimwa kwa lita
 
Hahaaa!!huu uongo huuuuu!!hahaaaa
Story yangu inaanza kama ifuatavyo baada ya kumaliza shughuli zangu za kuuza chipsi usiku napita karbu na nyumba ya jiran namsikia bwana mifugo akimwambia jiran yangu ambae ngombe wake alkuwa kasha dead amzike Mara moja kwani alkuwa ana anthrax basi nikaendelea kupeleleza nkaona alpomzka walipomaliza walivyoondoka nikaenda mfukua skuwa na gloves nikavaa mifuko ya Rambo maana nlsikia akisema ugonjwa ni hatar unaambukzwa na bacteria aina ya bacillus anthrax sjui kama nimepatia spelling au laa ila hayanihusu basi tuendelee na story basi bwana nikamuosha nikamkatakata vipande kesho nikamuuze mishkak vipande vilivyobakia nikampa mshkaj aweke kwenye freezer lake maana anatuchaj per day bwana nikauza wee mara watu wakaanza kuanguka baada ya kula wengne kutapika na kuhara palepale RAIA waliponishtukia wakaanza nikimbiza na mapanga wengine magongo sauti zilisikika zikisema "lazma tukukate vipandevipande" kwa bahat nzur kulikuwa kuna fuso sjui Lori hata skumbuk vzr lilikuwa linaanza kuondoka sjui lilikuwa linaenda WAP bas bwana nikalidandia baada ya masaa mawil mule ndan ya fuso simu yangu inaita mama mwenye nyumba anasema upo WAP mbona kuna polis wanakutafuta hapa nikakata Sm mara tena simu inaitaa kapiga RFK take yule mshkaj anatuifadhia nyama akasema nyama yako ina nn jamaa alikuibia kdogo kaenda itumia gheto sahiv ninavyokwambia tumemuwahisha hospital nikakata Sm .gar likiwa linaenda ktk kukaguakagua mule ndan nikakuta magunia kuyacheck ndani naona bangi pia kulikuwa na madawa mengne syajui kumbe skudandia fuso nilidandia kifo Mara gar likasimama kumbe hlo eneo kulikuwa na police patrol nkasikia shuken wote tukague gari
 
Kuna mtu/watu hawaamini uchawi/ulogi????Potelea mbali kama wapo
Nilivyokuwa mdogo kabla hata sijaanza shule miaka 7 hivi kulinitokea suala moja tukiwa tunacheza na watoto wenzangu jirani na nyumbani kwa Bibi mmoja hivi bi Munsi,huyo bi alinichapa bakora moja tu ya matakoni nikalia sana baadaye kwenda nyumbani nikashindwa kuongea yaani hata kunyanyua mdomo siwezi.
Siwezi kutoa sauti ni ishara tu wale wazoefu wa mambo haya wanafahamu vizuri ilikuwa ni pigo linajulikana kama chinamanama kwa kilugha.(yaani dawa ya kichawi inawekwa kwenye ile fimbo ikikuchapa au ukiiruka ndiyo kwisha kazi yako)
Basi ilibidi wazazi wawaulize wale watoto wakajibu kwamba amepigwa na fimbo na bi munsi kwa kuwa yule bi alikuwa anahisiwa ni mchawi alifutwa akapigwa mkwala mzito hapohapo akanishika na kunipitishia ile fimbo tena nikapona.
Bila watoto wale kutokuwepo nadhani leo hii ningekuwa mzimu.
 
Duuh natamani nimtag Mr Ngabu aje atupe scientific explanation maana wao ndio wanakomaaga eti uchawi haupo
 
Kuna pimbi moja ilikuwaga na papuchi tamu sana kidogo inipeleke akhera aisee.
Wayback miaka kadhaa nyuma kuna dem mmoja wa kizaramo alitugonganisha geto na msela alikuwa anasoma TEKU. Ilikuwa Mbeya maeneo ya Block T kilichotokea kutokana na ugomvi nilichomwa kisu mara mbili shingoni.

Ilikuwa ni balaa ndani ya sekunde chache nilianza kuona giza giza huku macho yakipoteza uwezo wa kuona, yaani kitu kama usingizi mzito na kupumua kwa kutumia nguvu kubwa.Mwili wote ulilegea ukiwa hauna nguvu kabisa.

Nilichokigundua ukielekea kufa huwa hakuna maumivu kabisa Ila huwa ni majuto ,hofu ya kufa na kutokuamini kama maisha ndio yanafikia mwisho. Ndani ya mda huo nilitamani ningerudisha mda nyuma hata kwa Siku kadhaa chache.

Anyway thanks God I'm still alive,baada ya kupoteza fahamu nilijikuta hospitali ya rufaa.
 
Back
Top Bottom