Chief tushirikisheAcha tu mkuu...niliona mwisho wangu umefika kabisaa! Enzi hizo nipo chuo kuna ishu ilitokea ilibdi nidisco kabisa aiseee...ilee siku niliwazaa mpaka daah..! Acha tu mkuu story ndefu kwa hali iliyokuwepo death niliona ndo only option sema nashukuru Mungu kuna mtu mzima flani aisee alinisaidia sana...
Wewe uliyekulia mjini hatari hujawai kuzipata? Nguvu za kiume nazo zipo? Maana mjini nasikia bila vumbi la Kongo jogoo hawiki sawasawa lakini sio kwa wanaume wote wa mjini tofauti na vijijini kwenye hatari nyingiBaada ya kusoma hii thread nimegundua watu waliokulia vijijini walikuwa hatarini sana....
Sh.ngapSiku hizi wanafanya root canal, haliumi then wanasakafia vzuri jino halikuumi milele sema procedure ndo expensive mkuu
Hee pole sana mwenza kumbe na wewe umekulia kijijini nilijua we wa daslamu haha kama nakuona yaani unaenda kuogelea kwenye kisima cha kuchota maji huna maana weweBaada ya kujua kuogelea nikawa nataka kuogelea kila wakati na kila mahali. Kijijini mchana wa jua kali huwa hakuna watu wanaokwenda kisimani hivyo nikajiambia ndio muda mzuri wa kwenda kuogelea.
Eeeh bwana wee kumbe si kila mahali ni pa kuogelea[emoji134][emoji134][emoji134]
Kufika kisimani, nikavua nguo zangu nikabakiwa na chupi, nikatumbukia kisimani kuogele. Ile kutumbukia nilivutwa chini nikaanza kupiga vikombe vya kutosha. Yaani ni Mungu tu alitokea mama mmoja akaniokoa na kunisaidia kutapika maji yote.
Akili za utoto duuuuh[emoji134][emoji134][emoji134]
Hajasoma comment za watu walionusurika kufa kwenye umeme, kugongwa na magari n.kWewe uliyekulia mjini hatari hujawai kuzipata? Nguvu za kiume nazo zipo? Maana mjini nasikia bila vumbi la Kongo jogoo hawiki sawasawa lakini sio kwa wanaume wote wa mjini tofauti na vijijini kwenye hatari nyingi
Mimi sijakulia mjini, nimekulia kijijini ambako hata maji unafuata km 20 huko. Nimelinganisha wa kijinini na mjini Kwa kusoma comments za watu.Wewe uliyekulia mjini hatari hujawai kuzipata? Nguvu za kiume nazo zipo? Maana mjini nasikia bila vumbi la Kongo jogoo hawiki sawasawa lakini sio kwa wanaume wote wa mjini tofauti na vijijini kwenye hatari nyingi
Sijakulia mjini.Sana yani lakini hata mliokukia mjini pia kuna hatari zake
Duh hivi ndio bikra zinapotoka bila kugegedwa!Pole sana mamy
Kwakweliii mi nimenusulika kufa Mara nyingi mno....nimekulia kijijini kule tuna shamba la minazi ...nakumbuka siku hiyo wazazi wote hawakuwepo basi tukatoka Mimi na mdogo wangu wa kiume mpaka shambani...
Tukashauriana na dogo tuibe madafu basi Mimi ndiye mkwezi
Nikapanda juu vizuri nimechuma madafu mawili nikamwambia dogo usiokote mpaka nishuke (mila zetu haziruhusu mtu wa chini kuokota Nazi mpaka mkwezi ashuke) dogo hakuelewa ye akaokota tu
Haki nilidondoka kutoka kule juu mpaka chini ....nilishindwa kupumua kwa muda wa dakika kadhaa nahangaika pumzi haiji ...jamani kama kufa ni kwa mtindo ule mungu asaidie tu lakini ohooooo hatari sana
Bahati nzuri baada ya muda kidogo nikapata pumzi namkuta dogo kapagawa hajui la kufanya[emoji38] [emoji38] tukabeba madafu yetu tukala story ikaisha hapo ila sikukoma kupanda juu ya minazi....
Siku nyingine nilinusurika kufa juu ya muembe
Nlipanda mpaka kileleni kufuata embe mbivu nikakutana na nyoka mkubwa sana aseee nikawaza nijiachie!!? Ila akili ikagoma basi nilishuka mkuku kwa spidi ya jet
Heee hiyo mila kibokoPole sana mamy

Yes naona hapa sasa tutaenda Sawa sawaOhoo sawa
Hahhah hatari mamyHeee hiyo mila kiboko
Mwenza nimekulia kijijini kweli kweli, daslam nimekuja kupajua uzeeni napo nimeenda mara moja tu🙈🙈🙈🙈Hee pole sana mwenza kumbe na wewe umekulia kijijini nilijua we wa daslamu haha kama nakuona yaani unaenda kuogelea kwenye kisima cha kuchota maji huna maana wewe
Pole sana mamy