2015 huenda waliiba ila 2020 alishinda kwa uhalali kabisa. Siyo imani, ni uhalisia.Kwa hiyo wewe unaamini mwaka 2015 au 2020 Magufuli alishinda kihalali kwenye uchaguzi?
Pole sana ndugu.
Ndugu yangu kiongozi bora anapimwa kwa vitu vitatu tu. Kusikiliza, kuheshimu na kuwatii wale anaowaongoza. Bahati mbaya sana Magufuli hakuwa na sifa hata moja katika hizo. Magufuli alikuwa mbabe, mkatili na mjuaji kwenye kila kitu.Watanzania wengi hawakumpenda Magufuli kwa kuwa aliwanyanyasa tabaka la juu.
Katika Uongozi wa Magufuli tulishuhudia improvement kubwa sana katika huduma za kijamii. Watanzania wengi walikuwa wahanga wa huduma mbovu, na sasa tunarejea huko kwa kasi ya ajabu...
Kilichowagusa watu wa chini pekee ni elimu bure lakini hivyo vingine sidhani Kwa kweli.Watanzania wengi hawakumpenda Magufuli kwa kuwa aliwanyanyasa tabaka la juu, hapana.
Katika Uongozi wa Magufuli tulishuhudia improvements kubwa sana katika huduma za kijamii ambazo kimsingi Watanzania wengi walikuwa wahanga wa huduma mbovu kabla yake, na sasa tunarejea huko kwa kasi ya ajabu...
Zitto huwa anajiona ana akili kumbe hamna kitu , yeye anafikiri adui yake ni magufuli wakati adui yao ni ccm. Kosa hilohilo linafanywa na chadema ambao wanagombana na zitto au wanamsema magufuli huku wanaiacha ccm.
Wameacha kujadili ripoti ya cag, mfumuko wa bei vitu vinavyogusa watu wanamjadili magufuli kwa kifupi wanacheza muziki wa ccm.
Kiburi wanapata kwa dada maana nae anamnanga kaka Sasa wadogo wataachaje!.. Mkuu usiseme hakuna maskini ambao hawakufaidika na awamu hiyo kiuchumi unahabari huko geita wachimbaji wadogo wadogo walineemeka...
Rekebisha tuu hapo kwenye red najua ulimaanisha kuandika sumu, ukaandika simu.Kwema .
Nimemsikia Mhe. Zito Kabwe akimshambulia JPM Kwa namna mbalimbali, nataka kumhakikishia Zitto kuwa anachokifanya ni kujikorogea simu na kuinywa ambayo itamuua POLEPOLE pasipo yeye kujua.
Taikon Acha nipumzike sasa!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Twangoma.
Kwahiyo wenye system yao wanataka wakubwa wabaki wakubwa na wadogo wabaki wadogo wasikue!.. nimekupata mkuu..😃Tatizo la Mzee bado hujalijua tuu Mkuu?
Ulimwengu WA sasa hautaki mtu kuwafanya watu wawe Sawa yaani kuleta ujamaa katika Karne ya 21 ni kujitafutia vita usiyoiweza.
Zaidi jpm alifanikiwa kwenye propaganda
Unaongea ukweli mkuu,kuna watu Magufuli aliwaumiza moja kwa moja kama kuwafungia biashara,kuwaweka ndani,kuvunja nyumba zao,kuwatumbua e.t.c hao hata uwaambie nini hawawezi kuona mazuri ya Magufuli na kuna watu wa hali ya chini ambao wameona ujenzi wa miundo mbinu nao huwezi kuwaambia kitu,so mwisho wa siku tutaishia kuingia kwenye mgogoro ili hali muhusika ameshafariki.Sijui watu wanajaribu kuachieve nini kumsema Magufuli daily.
Bado mimi naamini mtu kama Zitto tutamkumbusha wakati wa kampeni juu ya hiki anachokifanya.Ndio maana nawashauri viongozi Kama kina Zitto Kabwe wawaachie watu wa mitandaoni mambo haya kwani wao hawana chakupoteza Ila Kwa Viongozi Kama wao haiwezi kuwa nzuri kwao Kisiasa
Kwahiyo wenye system yao wanataka wakubwa wabaki wakubwa na wadogo wabaki wadogo wasikue!.. nimekupata mkuu..😃
Umenena vyema sana,
Na ukifanya tathimini ya kina uku mitaani utaona ni Jinsi gani JPM anapendwa sana na walalahoi na baadhi ya wachache waliokuwa wanachuma mkate wao ki halali.....
Sema unamtetea wewe...Wengi bado tunamuona ni tapeli