dadii atakuwa ni mkaka mtu mzima..jaman.kuna majitu yanafatilia na utoto mwingi nyie?mwenzenu had leo hii sina rafiki...yaa asbh nimetoka tumiwameseji manengelo shoga kaa na mumeo sitakutafta tena huyo ni wa4!utadhan tunakaa bar uchi au tumeshika chupi mikonon..au tunakaa vby kias kwamba mamen wanaona chupi chetu tuzovaa... yaan ht ukutwe unakula.kiepe bar na rafiki huyu rafik analo..atasimangwa matusi yt km sio utoto ni nn huo!january naweka tangazo humu la kutafta mwanaume mzee alotaliki au kufiwa mradi tupime! anifanye mkewe!anidekeze !nimechoka mtu unalazimishwa kuishi km mzee bwana![emoji58][emoji21][emoji57]