Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji111][emoji111][emoji109]u made my morning hapa nacheka kwa nguv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],acha nitembee kifua mbere
Umeamka poa lkn jirani?
Au bado hangover zinatingisha serikali ya kitongoji?
 
Nashukuru Mungu sijapata tamaa ya kuingia huko na wala sitaki hiyo tamaa inijie.
Hpn Kasie sio kweli kua haujawahi kupata tamaa na wala hautaki hio tamaa ikujie.
Hakuna mwanamke hapa duniani asiependa kuvaa shela hilo tusidanganyane.
 
Sawa hatudanganyani bali tunaambiana ukweli.

Nna tamaa ya kuolewa ili uone sidanganyi ilhali maisha nnayoishi hayaelekei hata kutamani ndoa.

Maelewano na Dadii ni zaidi ya ndoa kwangu.
 
Tusidanganyane kila ndoa ina changamoto tofauti na nyingine. Ndoa ni msalaba
 
[emoji23][emoji23]akiniona naongea na maboss job anakuja jion na stry dogo profesa fulan naskia mwathirika-nami namjibu nshawishi aanze kutumia dawa anakujibu shauri zako mie nakuambia unajifanya mjanja[emoji57][emoji57][emoji57]
Mmh I guess Mumeo anakuona hujatulia ndo maana, na wewe ndo wa kumjengea imani kama anavokuwazia siyo. Ila kwa jinsi unavomjibu na hizo mambo zako za kuhang out na mashost, mara umdanganye ulipo mmh mtaachana very soon aisee au kama ni mvumilivu mtaishi hivo hivo kwa vitimbi miaka nenda rudi
 
Hpn Kasie sio kweli kua haujawahi kupata tamaa na wala hautaki hio tamaa ikujie.
Hakuna mwanamke hapa duniani asiependa kuvaa shela hilo tusidanganyane.
Umejuaje na wewe si mwanamke? Acheni kukariri
 
Mmh I guess Mumeo anakuona hujatulia ndo maana, na wewe ndo wa kumjengea imani kama anavokuwazia siyo. Ila kwa jinsi unavomjibu na hizo mambo zako za kuhang out na mashost, mara umdanganye ulipo mmh mtaachana very soon aisee au kama ni mvumilivu mtaishi hivo hivo kwa vitimbi miaka nenda rudi

ah wapi..alafu sinaga mitoko mm ni nadra sana sana nihang na mashost naye anajua hvyo...!anahofu tu km za wanaume wenginr nahis na utoto pia unachangia..han ht 35..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mie ht km.yumo humu akae akijua nimechoka ht km ndo ww ujue nimechoka..wala sijali..na anajua sijui kuvunga..acha tufunguke hujui ndo twajiponya hvyo!mie huwa naheal mapema kuliko kuweka moyoni kisa ndoa[emoji57]
Choka tu ila usiachike dadaangu, amini usiamini stress za kuachika zinatesa zaidi kuliko za ndoani
 
wakawaida sana sana mwaya... sema nina kabahati kakuangaliwa[emoji4]!ss niangaliwe aone aliyeniangalia ht km mmeagiza msos anakuambia twende nyumbani inaonekama ww hpa unakujga sana mbona yulr mwanaume anakuangalia sana!namwambia labda kanifananisha je..anakuambia unajifanya mjuaji eh?[emoji23]mtaondoka lazima
Hahaaa nimeamini maneno ya finnest, wewe mzuri hadi mumeo hajiamini, teh!!
 
Choka tu ila usiachike dadaangu, amini usiamini stress za kuachika zinatesa zaidi kuliko za ndoani
Hahhaha nilitegemea neno kama hili kutoka kwako. Mwambie kabisa akiachika atapauka, uso utakosa nuru na mashavu yatachuma kunde
 
manengelo njoo huku umsikie Heaven Sent anavokomelea, teh!!

Ila kusema kweli sijawahi ona aliyeachika akawa na nuru. Awe na kazi nono au sijui mali lakini wapii sionagi kama wana furaha, yaan hadi lotion zinadundaga kwenye ngozi zao, teh!

So ni muhimu tuendelee kumshauri Manengelo aendelee kuvumilia tu akiwa huko huko ndoani. Kiukweli ndoa zote zinachangamoto, sababu kubwa nayoiona mimi kwenye ndoa sehemu kubwa tunafanya majukumu, yaan mapenzi yana sehemu ndogo sana. So ukielewa uhalisia huu wala ndoa haikupi shida, unavumilia tu maisha yanasonga.
 
Mkuu umeoa?
 
Back
Top Bottom