Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

😂😂👊salute

Nilikuwa zangu naelekea Somanda.

959EEE27-9DF1-4224-BAE0-B434F3AD4E5C.jpeg


Ghafla kuangalia upande wa kushoto naona kituo cha kujazia mafuta cha Nengelo!

Nikajisema kimoyo moyo ‘kumbe ng’wanike one’ ni nsabhi...
 
Mimi ninakaribia kuzishindwa..mtu analazimisha uishi atakavyo[emoji57][emoji57]hela yako[emoji57][emoji57][emoji57]simu yangu[emoji57][emoji57][emoji57]!kumaaaninaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Sikuwahi kuingia kwenye hii taasisi Ila kwa mahusiano niliyopitia siitamani hata.

Baadae ya kukutana na Dadii, kuna siku alinipeleka kwenye duka wanalokodisha magauni ya harusi akataka nijaribu linalonitosha na nililolipenda.

Sikubisha wala kujua kwanini anafanya hivyo. Tulipomaliza nikatoka nimelivaa, alilipia kukodisha akanipeleka nikafanye make up kisha tukaenda hotel, akasema leo sikuoi ila nataka kuishi na wewe maisha nje ya ndoa kiungo chetu kikubwa ni kuheshimiana na upendo.

Hadi leo sijawahi kutamani ndoa, sijawahi kumchoka Dadii na wala sifikirii kumuacha hata iweje.

Mahaba Mia Mia kwako Dadii Sisemi haya ili watu waache ndoa zao hapana. Kila mtu na aishi vile anapata amani moyoni.


dadii atakuwa ni mkaka mtu mzima..jaman.kuna majitu yanafatilia na utoto mwingi nyie?mwenzenu had leo hii sina rafiki...yaa asbh nimetoka tumiwameseji manengelo shoga kaa na mumeo sitakutafta tena huyo ni wa4!utadhan tunakaa bar uchi au tumeshika chupi mikonon..au tunakaa vby kias kwamba mamen wanaona chupi chetu tuzovaa... yaan ht ukutwe unakula.kiepe bar na rafiki huyu rafik analo..atasimangwa matusi yt km sio utoto ni nn huo!january naweka tangazo humu la kutafta mwanaume mzee alotaliki au kufiwa mradi tupime! anifanye mkewe!anidekeze !nimechoka mtu unalazimishwa kuishi km mzee bwana!😑😣😏
 
Njoo kwa Sweet Mangi,
Mangi nisie na tatizo...

Sema sasa wivu usije ukakushika wewe,
Ukanifanyia kama ulivyofanyiwaa,

Upo tayari?
dadii atakuwa ni mkaka mtu mzima..jaman.kuna majitu yanafatilia na utoto mwingi nyie?mwenzenu had leo hii sina rafiki...yaa asbh nimetoka tumiwameseji manengelo shoga kaa na mumeo sitakutafta tena huyo ni wa4!utadhan tunakaa bar uchi au tumeshika chupi mikonon..au tunakaa vby kias kwamba mamen wanaona chupi chetu tuzovaa... yaan ht ukutwe unakula.kiepe bar na rafiki huyu rafik analo..atasimangwa matusi yt km sio utoto ni nn huo!january naweka tangazo humu la kutafta mwanaume mzee alotaliki au kufiwa mradi tupime! anifanye mkewe!anidekeze !nimechoka mtu unalazimishwa kuishi km mzee bwana![emoji58][emoji21][emoji57]
 
[emoji23][emoji23]ya 4 hii..am stable thou nawaza kurudi hom tu hapa..sasa umkute ataanza maswali mbn.umechangamka..mbona umelegea[emoji57][emoji57][emoji57] fyekeleaa mbali
Hahaha unanichekesha manengelo, mtu ushapendeza zako afu Kuna kiumbe kinaanza anza maswali...... Aaagaah
 
Njoo kwa Sweet Mangi,
Mangi nisie na tatizo...

Sema sasa wivu usije ukakushika wewe,
Ukanifanyia kama ulivyofanyiwaa,

Upo tayari?

😂😂😂😂mie damu yangu nw baridi sina wivu kbs aisee...ila na ww usinichunge chunge kijinga jinga..usinione nacheka na simu unipoke simu kisa natabasamu khaa!utoto sipendi
 
Back
Top Bottom