Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,591
- 94,919
Ili ndoa idumu ni lazima mmoja ajifanye boya
Ili ndoa idumu ni lazima mmoja ajifanye boya
😂😂ya 4 hii..am stable thou nawaza kurudi hom tu hapa..sasa umkute ataanza maswali mbn.umechangamka..mbona umelegea😏😏😏 fyekeleaa mbaliHhhhaha.. Imagi imeanza kufanya kazi eeh
Upo vzr shoya 4 hii..am stable thou nawaza kurudi hom tu hapa..sasa umkute ataanza maswali mbn.umechangamka..mbona umelegea
fyekeleaa mbali
Hapana haitakaa itokee. Ndoa ni taasisi kongwe duniani itaendelea kuwepo utakufa utaiacha.Yaani namaanisha itafika kipindi watu watakutana kuX ilikutoa handasi nakuuweka mwili safi ila ndoa litakua suala LA wenye kipato kikubwa sana
Kama mwanamke anajitambua na kujua majukum yke kwa mume ubabe utatoka wapihasa hasa wanaume mmeshindwa kuwatake care wake zenu mmebaki kuonesha ubabe kwa wake zenu !poor u
Si kweli😂😂hasa hasa wanaume mmeshindwa kuwatake care wake zenu mmebaki kuonesha ubabe kwa wake zenu !poor u
Ili ndoa idumu ni lazima mmoja ajifanye boya
Jukumu lako ni usubiri ujifunze hapaSisi ambao hatujaoa mnatupa majukum gani?
Yoyote yuleNan sasa
Na watu wataoana kwa ufahari kama kawaidaHapana haitakaa itokee. Ndoa ni taasisi kongwe duniani itaendelea kuwepo utakufa utaiacha.
ndo nakuambia...nasemea wanawake maelfu hapa..ohooSi kweli
What if mume hajui hatambui majukumu yake kwa mke?Kama mwanamke anajitambua na kujua majukum yke kwa mume ubabe utatoka wapi
hhaaa eti ubabe unatoka wapKama mwanamke anajitambua na kujua majukum yke kwa mume ubabe utatoka wapi
bora umenipokea ww kijiti mie nishawaka hapaWhat if mume hajui hatambui majukumu yake kwa mke?
Ha haaa taratibuubora umenipokea ww kijiti mie nishawaka hapa
😊😊😊✌Ha haaa taratibuu
Hiyo kitu apo tamu sanaMzigua mdogo angu mbona unataka kuniharibia j4 hii jaman!??mimi kwenye hayo mambo nw km sielewi... labda tuulizane tView attachment 971218u madeal yanayolipa kwasasa...nimefanya biashara fulan asbh sasa hv nipo hapajaman masuala ya ndoa mie unaniletea vipele
vya jasho
nimeinyw kwa pupa fulan😊njaa sasaHiyo kitu apo tamu sana
Kasie matataaaaaaa...