Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
dadii atakuwa ni mkaka mtu mzima..jaman.kuna majitu yanafatilia na utoto mwingi nyie?mwenzenu had leo hii sina rafiki...yaa asbh nimetoka tumiwameseji manengelo shoga kaa na mumeo sitakutafta tena huyo ni wa4!utadhan tunakaa bar uchi au tumeshika chupi mikonon..au tunakaa vby kias kwamba mamen wanaona chupi chetu tuzovaa... yaan ht ukutwe unakula.kiepe bar na rafiki huyu rafik analo..atasimangwa matusi yt km sio utoto ni nn huo!january naweka tangazo humu la kutafta mwanaume mzee alotaliki au kufiwa mradi tupime! anifanye mkewe!anidekeze !nimechoka mtu unalazimishwa kuishi km mzee bwana!😑😣😏
Hahahahahaa nacheka japo sio mazuri, pole mwaya.
Cha muhimu Kuwa na misimamo yako. Kuna vitu unaweza kufanya sio kuwa unakiuka maadili ya ndoa au una cheat au lolote lile bali unafanya ili akili yako iwe mpya kila leo na kupata akili mpya ya kuendelea na maisha.
Dadii ni zaidi ya kaka mtu mzima, ananijua kila kona ya maisha yangu na tunajuliana namna ya kuenenda kimaisha.
I really adores him, he knows na akipita hapa atasoma.