Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Niko kwenye ndoa kwa muda sasa lakini changamoto zake sijaweza kuzishinda zaida ya kuvumilia tu je wenzangu vp
Ndio ushaziweza mkuu. Vumilia tu hamna aliyezishinda ukawa wa pili
 
Mbona unaonekana kama mbibi au sisiter wa kanisa katoliki?ila hapana bhana maana unaimbaga nyimbo za dunia ww hwez kuwa mtawa.

Mimi ni zaidi ya unidhaniavyo....

Mimi ni Mahaba na ndani ya ndoa kuna Mahaba, Mahaba yangu hayajafungwa na ndoa...

Kasie Mahaba Matata

K' Matata.
 
Kwa iyo suluhisho ni kumkimbia? Utakmbia wangap sasa sister mana tupo weeeeeng wa dizain iyo na kukaa peke ako hadi kifo haiwezekan
Sijasema suluhisho ni kumkimbia, ndio maana nikasema ili ndoa idumu mmoja lazima ajifanye boya Ili maisha yaende
Halafu nani kakuambia haiwezekani kuka mwenyewe Hadi kifo?
 
uk
hahhaa mie mwenyrw najua kasie hayupo ndoan waliopo ndoan wanajulikana full woga hofu majuto stress kero vurugu mechi ik

kuact unafiki mradi kuchwe..sasa ww kat8 ya haya umeyaona wapi kwa kasie?😂😂kasie anajiachiaga balaa..na h8vi age yake ndo raha ya dudu anaifeel bas full raha .its likr pressing yhe button

Nimeona mahali unakunywa Imagi, inauzwa shilingi ngapi hiyo chupa? Ni PM namba ya muamala nikurushie ufurahie maisha kwa koo.

Cheers.
 
Ukweli ni kuwa wapo wanaofurahia ndoa zao na wamekaa kimya kabisa. Tatizo ni wale wenye ndoa ndoano. Makelele mengi mpaka tunawatisha watoto waiogope ndoa. Changamoto za ndoa zinategemeana na ulipokosea. Swali kubwa ni ulikosea wapi? Na unakosea wapi?
 
Mzigua mdogo angu mbona unataka kuniharibia j4 hii jaman!??mimi kwenye hayo mambo nw km sielewi... labda tuulizane tView attachment 971218u madeal yanayolipa kwasasa...nimefanya biashara fulan asbh sasa hv nipo hapa[emoji4][emoji4][emoji4]jaman masuala ya ndoa mie unaniletea vipele
vya jasho
Wine inywewe nyumbani bhanaa,
Au outdoor huku nyama zinachomwaa....

Sio bar
 
Back
Top Bottom