General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Kwajinsi mnavyonitisha na hizo ndoa, ndo nazidi kuongeza sababu ya kutofika hukoo!!!
Wanaopiga kelele ni wachache, wenye raha zao wapo Ila wapo pia ambao wana majanga mazito na wamekaa kimya kupretend Kila kitu Kiko sawaUkweli ni kuwa wapo wanaofurahia ndoa zao na wamekaa kimya kabisa. Tatizo ni wale wenye ndoa ndoano. Makelele mengi mpaka tunawatisha watoto waiogope ndoa. Changamoto za ndoa zinategemeana na ulipokosea. Swali kubwa ni ulikosea wapi? Na unakosea wapi?
😊😊😊Wine inywewe nyumbani bhanaa,
Au outdor huku nyama zinachomwaa....
Sio bar
😂wanaopiga kelelr weng ila weng zaid wanapretendWanaopiga kelele ni wachache, wenye raha zao wapo Ila wapo pia ambao wana majanga mazito na wamekaa kimya kupretend Kila kitu Kiko sawa
Ever smiling Kasieee,,Mimi ni zaidi ya unidhaniavyo....
Mimi ni Mahaba na ndani ya ndoa kuna Mahaba, Mahaba yangu hayajafungwa na ndoa...
Kasie Mahaba Matata
K' Matata.
😂😂😂✌Ever smiling Kasieee,,
Mahaba kama yote....!!
Kama kuna anaebisha afanye anajikunaaa!!!!
Juzi nimetoa thread Nimeshauriwa mpk Nikafarijika, Naona Wanani disappoint tena walaqhii.!!Ukweli ni kuwa wapo wanaofurahia ndoa zao na wamekaa kimya kabisa. Tatizo ni wale wenye ndoa ndoano. Makelele mengi mpaka tunawatisha watoto waiogope ndoa. Changamoto za ndoa zinategemeana na ulipokosea. Swali kubwa ni ulikosea wapi? Na unakosea wapi?
shida nini mamaaJuzi nimetoa thread Nimeshauriwa mpk Nikafarijika, Naona Wanani disappoint tena walaqhii.!!
Kama haupo kwenye taasisi huwezi kujua yaliyomo
😂😂Sawa mwenye taasisi.
😂😂ya 4 hii..am stable thou nawaza kurudi hom tu hapa..sasa umkute ataanza maswali mbn.umechangamka..mbona umelegea😏😏😏 fyekeleaa mbali
😂😂😂✌✌✌3000 tu mamy😊😊 acha nije
Nakutafuta.....
Ngoja ntulie. Maana naweza toa ushuhuda ujuendo nakuambia...nasemea wanawake maelfu hapa..ohoo
Kasiee,
Wasubiri nini mama?
Kwajinsi mnavyonitisha na hizo ndoa, ndo nazidi kuongeza sababu ya kutofika hukoo!!!
Abeeeh. Sweet Mangii mambooz.
Lini unapandisha milimani au ushaenda? Babu kaniahidi kihamba upande wa karibu na Mlima, nasubiria makabidhiano Ila sharti lake naona kama linanishindaaa.....
Hiyo taasisi Mie hata siitaki, huu upande niliopo nainjoi sana na nafurahia maisha sitaki kutamani nisije kutenda dhambi.
NakataaaaKuishi na mtu mnayeboana kuna uzuri gani? Tuseme tu ukweli ndoa nyingi ni unafiki tu
Ever smiling Kasieee,,
Mahaba kama yote....!!
Kama kuna anaebisha afanye kama anajikunaaa!!!!