Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

[emoji23][emoji23][emoji23]hubby mie amekuwa kituko balaa kwa frnds... ova kachanganyikiwa vile sijui vyuma vya magu?khaa.. inauma sana ufanye starehe kwa hela.zako alafu mwingine aje akutibue bila sababu..imaginr mtu anakukuta umekaa na shost mnapenana machungu ya ndoa anakuambia nyanyuka rudi hom[emoji57]..bas umalizie kilaji anakimwaga[emoji57][emoji57][emoji57]
Hahaha mm kunasiku alinifata (Kumbe na yeye alikuwa kashakunywa ) akaanza kuwaharass watu niliokua nmekaa nao"mke wangu haendagi sehemu mbovu mbovu, hali haya matapu tapu, pombe zenyewe za bei rahisi utaharisha bure !!!! Mke wangu nyanyuka twende...... Ile siku nilijisikia vibaya aliniiaibisha Saana nilinyanyuka nikaawaomba msamaha watu niliokua nao pale ikabidi tuondoke tu maana niliogopa asije kuongea mengine.
 
Kiukweli namshukuru maulana kwa raha anazonitunuku Dadii na raha za asili nilizonazo basi tabasamu halikauki.

Umenichekesha sana hapo kwa mzee kucheki kwa watoto,ati jana mlienda na ammo wapi aaahahahahhahahahahahahaa.

Siku moja mtafute binamu wa mbali uhang nae na watoto, binamu ambae eye mume anamjua ila watoto hawajawahi kutana nae halafu unapiga picha nae na watoto. Kisha watoto unawaambia huyu ni uncle yenu mmesikia.....

Halafu subiria taarifa ya habari kesho yake asubuhi maana watoto watasema tuu, mradi tuu awe hapigi ila kama anapiga wala usifanye huo mzaha.

Natumai mls kadhaa zimekufikia....

😂😂😂 hapigi ila ananidispline vby sana sana ... !yaani anakuumiza kihisia..!yan anakunyongoza tu kijinga jinga..anaweza chujua wallret na simu zako akaenda zifungia ofisini kwake.. km una kabiashra anaenda kutia komeo lake...dah... huyu siku nitamfunza sema mie mstaarabu sana sijui ushari kila.mtu anasema...nataman iuwa mshari mswazi..mbn atashaa..seen sisy ..mekupm..thnx be blessed..!
 
Haswaaa hujakosea hata kidogo, ukilinganisha na mauzoefu niliyonayo ya uraiani wa kulana bila ndoa Wala kujenga familia.... Basi nakutana na timbwili kede wa kedee.
Duuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapigi ila ananidispline vby sana sana ... !yaani anakuumiza kihisia..!yan anakunyongoza tu kijinga jinga..anaweza chujua wallret na simu zako akaenda zifungia ofisini kwake.. km una kabiashra anaenda kutia komeo lake...dah... huyu siku nitamfunza sema mie mstaarabu sana sijui ushari kila.mtu anasema...nataman iuwa mshari mswazi..mbn atashaa..seen sisy ..mekupm..thnx be blessed..!
Duh hiyo kali
 
Hahaha mm kunasiku alinifata (Kumbe na yeye alikuwa kashakunywa ) akaanza kuwaharass watu niliokua nmekaa nao"mke wangu haendagi sehemu mbovu mbovu, hali haya matapu tapu, pombe zenyewe za bei rahisi utaharisha bure !!!! Mke wangu nyanyuka twende...... Ile siku nilijisikia vibaya aliniiaibisha Saana nilinyanyuka nikaawaomba msamaha watu niliokua nao pale ikabidi tuondoke tu maana niliogopa asije kuongea mengine.

😂😂😂juzi jpl nilikaa sehem 1 na shost tena alilazimisha sana tutoke nikamwambia jol mbn kie sipend kunywa akalazimsha sana ..jaman nisikilzage tu roho yangu sehem nikiyokaa pemben yangu yupo mzungu m1 maarufu sana anajulikana sana kwa💃🍺 aliponiona akaniachia kiti huyo mzungu tukawa tumekaa na shost mzungu akawa anayake na mm nayngu tena nilikua jf...lahaulaaa kumbe mr anacheki mpira hapo akaniask uko ap nikamdanganya nipo towm...nikidanganya coz amekuwa mtu wa kuharass sana mbele za watu.. jama dk 20 nyinhi nakuta nashikwa bega..hhaaa nikaishia kutabasam sikujali coz kanikuta na shost weee!anadai mzungu ni mwathirika wa ukimwi na hao marafiki mlokaa nao wote waathirika (nahis mume wangu ameajiriwa vitengo vya kupima magoma)!shoga akaanza nishutumu.ninatembea na mzungu😂😂😂... kachukua kila.kitu changu kanirudishia alfjir leo😁😁😁 kuna mtu hapo sasa..alafu mzungu ht hakua na shobo kbs na mm ...kila akikuta tumrkaa na wakaka anasrmaga manengelo hv hujui hao waathirika😂😂😂
 
Hahahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]juzi jpl nilikaa sehem 1 na shost tena alilazimisha sana tutoke nikamwambia jol mbn kie sipend kunywa akalazimsha sana ..jaman nisikilzage tu roho yangu sehem nikiyokaa pemben yangu yupo mzungu m1 maarufu sana anajulikana sana kwa[emoji126][emoji481] aliponiona akaniachia kiti huyo mzungu tukawa tumekaa na shost mzungu akawa anayake na mm nayngu tena nilikua jf...lahaulaaa kumbe mr anacheki mpira hapo akaniask uko ap nikamdanganya nipo towm...nikidanganya coz amekuwa mtu wa kuharass sana mbele za watu.. jama dk 20 nyinhi nakuta nashikwa bega..hhaaa nikaishia kutabasam sikujali coz kanikuta na shost weee!anadai mzungu ni mwathirika wa ukimwi na hao marafiki mlokaa nao wote waathirika (nahis mume wangu ameajiriwa vitengo vya kupima magoma)!shoga akaanza nishutumu.ninatembea na mzungu[emoji23][emoji23][emoji23]... kachukua kila.kitu changu kanirudishia alfjir leo[emoji16][emoji16][emoji16] kuna mtu hapo sasa..alafu mzungu ht hakua na shobo kbs na mm ...kila akikuta tumrkaa na wakaka anasrmaga manengelo hv hujui hao waathirika[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom