Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

asante mamito. ukuje na wewe utirirke siku ukidondoka au kudondokewa kumoyo
yaani hii thread intamanisha haki vile wapenzi,

ntaitunza siku na mi nikijikuta nimedondokea humo ntakuja kutoa ushuda da,

be bleseesed wote mlioko kwenye deep love kwa sasa,

msivunjwe moyo na maneno ya watu,mtaachana,enjoy every moment as much as you can yajayo mwachieni Mungu

aisee asikwambie mtu jamani bing in love and feeling it is the best feeling ever,

Mungu alijua kutupendelea wandamu with such feeling asiee.
 
Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yaani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenzi.

Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Furaha yako iko mbioni kutoweka ivi karibuni 🙂🙂🙂
 
Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yaani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenzi.

Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Tunaochezeshwa sebene na mapenzi tunaruhusiwa kukoment humu.Mapenzi kwetu kama CHIMULENGA WAR nipeni LIKE tujuane basi
 
Furaha yako iko mbioni kutoweka ivi karibuni [emoji846][emoji846][emoji846]
Imetoweka tangia ijumaa ya juzi ila kuna kiraka mahali ktaziba. Halii mtu....
Huu mchezo Ni wa hide and seek
 
yaani hii thread intamanisha haki vile wapenzi,

ntaitunza siku na mi nikijikuta nimedondokea humo ntakuja kutoa ushuda da,

be bleseesed wote mlioko kwenye deep love kwa sasa,

msivunjwe moyo na maneno ya watu,mtaachana,enjoy every moment as much as you can yajayo mwachieni Mungu

aisee asikwambie mtu jamani bing in love and feeling it is the best feeling ever,

Mungu alijua kutupendelea wandamu with such feeling asiee.
Love is a very beautiful thing ever
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
I don't ever regret falling in love
There are people who will always reside in my heart no matter what they will pay back
 
Kuna watu wanasema mtaachana tu, ni kweli Ila kwa sasa mambo kwangu ni bull bull🥰😍😍🤩
Najua inaawezakana isi last siku zote it's okay kwangu as long as na enjoy kwa sasa.
Ila mapenzi ni matamu jamani khaaa 🤭 sijui nilikua najichelewesha wapi😅
 
sure mamie enjoy every bit of it while you can 😍
 
Mtaachana tu! Thermometer mbovu hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuachani ng'ooo mtasugua sana. Ulinzi wake si wa nchi hii! Akijisikia kuchepuka anaomba rhuksa nachagua mimi.nani!! wapi!! lini!

Hatujakaa kikristo cha kizungu sisi. Ishia hapohapo. weye ndo utalia km kobe.
 
hiki ndio kipindi cha kuomba ujengewe nyumba hizo ni dalili za kuwa single mother
 
Kuna watu wanasema mtaachana tu, ni kweli Ila kwa sasa mambo kwangu ni bull bull🥰😍😍🤩
Najua inaawezakana isi last siku zote it's okay kwangu as long as na enjoy kwa sasa.
Ila mapenzi ni matamu jamani khaaa 🤭 sijui nilikua najichelewesha wapi😅
wakisema hivo labda. kwa uzuri kwa ubaya uyakatae pale pale tena km utani hivi

"utaachwa wewe, mie ntazaa na huyuhuyu mpaka kuzikana na kufukuliwa siku ya mwisho!

Akisema mumeo malaya weee ongezea hapo hapo.

"Yule mwamba kwa chini hajambo ukifanya masihara nakumkalia vibaya anawalamba kwenu wote" mama bibi vitoto mpaka na babayo km anatumika ndogo.
 
😂😂😂😂😂🙌🙌
 
Ilikuaje mkuu😆
yaani mapenzi yale yalikuwa sio ya kawaida mume wangu tulishinda wote jikoni nikimpigisha stori yeye akiandaa chakula akimaliza anachukua kiti nakaa hapo wakati ananisaidia kuosha vyombo mimi nimekaa pembeni nampa stori hata zizizoeleweka.akitoka kidogo akirudi anapitia dukani lazima aniletee ile malt ya kahawa ya baridi sana au lazima aniletee kitu chochote.na yeye vilevile akitaka kutoka lazima nimbariki kwa mabusu yote mpaka ajione duniani hakuna mwanaume mwingine isipokuwa yeye.alipotoka huko alikokuwa ilikuwa haipiti lisaa limoja hajanipigia simu au mimi sijampigia simu wala kumtumia sms.movies za love story zilikuwa haziishi humo ndani.kiukweli maisha tuliyafurahia kiasi kwamba tulijiona duniani tunaishi wenyewe tu.mkuu hayo yalidumu kwa miezi mitano tu.yaani kilichofuata hapo ni kukerembeshana au ni kufanya nini mwanaume alibadilika ndani ya kipindi kifupi tu cha wakati mpaka kufikia kuachana.yaani mpaka nilijiuliza au nilichelewa kurenew limbwata nini
 
Mimi Kama shetani sikupendezwa na moment mlokuwa nayo ndo maana niliingilia Kati.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom