amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
Hongera sana.Ni shida atii...
He hehe ngoja nicheke.
Unaombwa msamaha hadi anapokohoa
Najua utapita hapa ila huu uzi ngoja ubaki uwe kumbukumbu yetu incase
Hongera sana.Ni shida atii...
He hehe ngoja nicheke.
Unaombwa msamaha hadi anapokohoa
Najua utapita hapa ila huu uzi ngoja ubaki uwe kumbukumbu yetu incase
Na huwa anajua kualaani balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh,kesho unakuja umetendwaa
Umeshasema[emoji28]Waswahili watasema “na mtaachana tu”
Comment yangu umeielewa?Hata wewe uko upande wa mleta Uzi?
Amen mama mtumishi😂😂😂Ooopo Haleluya
Duh!yeah umempa hongeraComment yangu umeielewa?
Unajua kupotea sanaAmen mama mtumishi[emoji23][emoji23][emoji23]
Subiria mvua zianze ulete mrejesho😎Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenz.
Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Hahaha itakuwa nimegusa penyewe eeh, uzi wetu wa kujidaia yakituvuruga tunauhama, ila sidhaniUna nini lakini? Nimecheka mpaka nimepaliwa
Penzi jipya bana, ulevi wake unaweza hisi watu wengine wote ni mifugo tu na mimea na dunia nzima mpo wawili tu!🤣🤣🤣Tuko pamoja Mrs Bishanga, tunapitia vipindi vinavyofanana kabisa, natamani niutangazie ulimwengu mzima kile napitia kwa sasa
Mwalimu wako wakiswahili atafutwe..😅Heri yake...
Muombee atulie asinigeuke
Penzi likizidi utamu jiandae kisaikolojia 😂😂😂 maana kuna namna flani itatokea tu upepo utabadilika!Kwajinsi penzi letu lilivyokua tamu 😍😍sikifahamu linaweza kuisha kws mtindo ule🤣🤣🤣
Ndio ule muda wa kununuliana Iphones na perfumes za bei ghali huku mkibadilisha mapishi ya hotel mbali mbali mjini😂!!! Huku majina mazuri yote mkipeana...Both wishing it could last forever🤣🤣🤣Ni wakati Kama huu mtu yeyote akiomba chochote kilicho ndani ya uwezo wako unampa, maana unauhisi ubinadamu, upendo na huruma kwa kila mtu,
Yakibadilika turudi tufarijiane😂😂😂😂
Yeah too much of something is harmfulNdio ule muda wa kununuliana Iphones na perfumes za bei ghali huku mkibadilisha mapishi ya hotel mbali mbali mjini[emoji23]!!! Huku majina mazuri yote mkipeana...Both wishing it could last forever[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule pepo mchafu akitua tu sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
hongera sana mkuu, alafu huyu mjuba si umempatia hapa hapa jamvini?
Kama umeielewa basi inatoshaDuh!yeah umempa hongera
Jf idumu milele[emoji2956][emoji2956]hongera sana mkuu, alafu huyu mjuba si umempatia hapa hapa jamvini?
Umeshasema[emoji28]