Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
ha ha ha.... AJ.. You are my friend.. How can i regret... Tatizo you like it a lot and you think, i can't let go... Nikiitaka si utanigawia?? lol
Walau hapo umekuwa mkweli!
Ile signature ukitumia huruhusiwi kabisa kwenda reverse...lol
unanikumbusha habari moja mfalme mmoja aliambiwa achague kati ya mali na hekima... yeye alichagua hekima ..nami pia ningetaka niongezew e hekima..kwa hiyo hekima itakua rahisi kukabili chalanges nyingene kwa hiyo nitaishi kwa amani.
Kwanza *.... sijui kama kuna mtu kakuliza what would be your answer for the above thing you asked us ... Please ..share!!
Kwanza Amani na Upendo... But hata hivo I have learned the crude way kua Amani na Upendo bila Pesa ni kazi bure... Haipo sustainable...!
I love the sound of these words....
Habari wana JF….
If you are to be granted lolote lile utakalo katika Maisha
Yako.... Kitu gani waweza taka Most... Ambacho unajua
Ukisha kipata utaridhika daima... Naomba tafadhali;
Tulia.... na Vuta Taswira.. uweze tuambia hicho kitu....
na yawezekana tayari wakijua...-Please Share....
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
Taswira imegoma aisee! tutaendelea kesho! bado kila nikivuta taswira naona kama naungana na Mzee DC tu katika posts zake tukufu.ha ha ha.... Sijui kapotelea wapi... naona bado anavuta taswira....
Now u r talking! acha kesho nikuje na nondo za kufa mtu! stay tuned.Nashukuru kwa hilo.... Swali lako majority hawaridhiki... but amini usiamini wapo wanaoridhika - Hata hivo hio haitufanyi once in a while kufikiria nini we desire most...
If you are to be granted lolote lile utakalo katika Maisha
Yako.... Kitu gani waweza taka Most... Ambacho unajua
Ukisha kipata utaridhika daima...
Hivi Ni kweli ulikuwa na maana ya kitu kimoja .... ? This is according to your explanation ... Kama ni kitu kimoja ... Even you you missed it ... You mentioned two things ...and not being certain ..ukaongezea ..the third thing ... I would be happy if you came with one thing!!
Can you come with one thing *?
Taswira imegoma aisee! tutaendelea kesho! bado kila nikivuta taswira naona kama naungana na Mzee DC tu katika posts zake tukufu.
Now u r talking! acha kesho nikuje na nondo za kufa mtu! stay tuned.
Offutopik: kuna kila dalili Husninyo nitampiga kibuti karibuni, nishachoka huu mpango wake wa mikwala hazarani halaf anaomba razi PM. .
kuishi maisha ya kawaida niweze kujihudumia mwenyewe na familia yangu pia kwa mahitaji muhimu ktk maisha kwa kipato halali sio kuishi kama mafisadi kutwa kucha wanawaza wapi wakaibe.