Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.

Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................

Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Hiyo elfu 5000 ya Mkugnu ni nyepesi kwa Wewe unaye safiri Tour huku umejiandaa Wallet iko safi.

Kwa wakazi wa hapo maisha yao hapo hiyo elfu tano kuipata ni mbinde.

Hata wewe tukikwambia ukae hapo Mwaka mmoja, wiki ya kwanza utakula Kitimoto na Mindizi ya kwenda.

Wiki ya pili hadi mwezi unaanza kula nyama ya ng'ombe baada ya Miezi sita utaanza kumiss dagaa na maharage kumbe Walet imeanza kusinyaa
 
Mada safi shukraani mtoa mada ila Tia nyama zaidi, maana Nami nilibahatika kufika Lushoto last December yooooo it knick my socks out, Tukuyu nilifika huko miaka mingi iliyopita,kwenye michezo ya vyuo vya ualimu kanda ya nyanda za juu,kwa sasa utanifanya mkuu nifanye detour kule, ahsante sana
Unachosema ni sahihi. Hali ya Lushoto na ya Tukuyu vinafanana Sana, na hata mazao, yanafanana...
 
Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.

Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................

Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Hatujakimbia, pamoja na kiwa niko Seattle Washington, home ni Mwakaleli Tukuyu. Last time nilikuwa huko June 2022. Tumetoka ili Kuja kutafuta then tunarudi home kuwekeza...
Home sweet home..
 
Sawa
Hiyo elfu 5000 ya Mkugnu ni nyepesi kwa Wewe unaye safiri Tour huku umejiandaa Wallet iko safi.

Kwa wakazi wa hapo maisha yao hapo hiyo elfu tano kuipata ni mbinde.

Hata wewe tukikwambia ukae hapo Mwaka mmoja, wiki ya kwanza utakula Kitimoto na Mindizi ya kwenda.

Wiki ya pili hadi mwezi unaanza kula nyama ya ng'ombe baada ya Miezi sita utaanza kumiss dagaa na maharage kumbe Walet imeanza kusinya
 
Yes mkuu Lushoto ipo safi,wale wabunge 3 ningetaka kuwachapa bakora, why hawaitengenezi ila barabara ya Mombo to Mlalo?,why wasijenge cable cars ili kuvutia utalii na kutoa ajira kwa vijana?,Capetown umaarufu wao ni utalii, na wanajivunia table mountain na ile cable car yao, sasa Lushoto kuna matable mountains ⛰️ kibao, jenga cable cars, zinakutoa milimani kule hadi mombo, watalii waukesha kwa miavuli etc etc, jenga view points nzuri zenye hiking tracks, hizi zote ni opportunities kwa wilaya na vijana kujiajiri wenyewe, aliyetuloga ni nani?
Sasa hivi nchi inahitaji wawekezaji, msikilize Dr.Mahenge wa TIC, wawekezaji sio lazima wawe wazungu, ukiwa na idea ipeleke, au tafuta watu wenye pesa share idea yako, waeleze ni vipi uwekezaji utaleta pesa,mkielewana sawa ukiona hawaelewi Tafuta watu andika proposal peleka TIC wawekezaji wanakuja kibao, wanaweza kuiuza idea yako na ikaleta manufaa, kwa taifa na kwako labda.
Usilaumu tu, labda hawaelewi cable cars ni nini.
 
Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.

Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................

Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Umeua ule mji ni wa kipekee kuna miti fulani imeteshwa mle karibu na chuo cha ualimu na maeneo mengine pia ipo madhari yake ni ya kuvutia sana, ukija mashamba ya chai pia yana madhari nzuri mno, wapiga picha, wacheza muvi na watafuta location wengine kuna kitu Tukuyu, watu wakule ni wakarimu sana, mvua zinanyesha kila mda, radi za nguvu Ndo usiseme, kipimo cha mche ni bakuli fulani(ndonya), nyumba za ibada kila kona watu wanasali sana Mungu awabariki Tukuyu Nitarudi tena
 
Sasa hivi nchi inahitaji wawekezaji, msikilize Dr.Mahenge wa TIC, wawekezaji sio lazima wawe wazungu, ukiwa na idea ipeleke, au tafuta watu wenye pesa share idea yako, waeleze ni vipi uwekezaji utaleta pesa,mkielewana sawa ukiona hawaelewi Tafuta watu andika proposal peleka TIC wawekezaji wanakuja kibao, wanaweza kuiuza idea yako na ikaleta manufaa, kwa taifa na kwako labda.
Usilaumu tu, labda hawaelewi cable cars ni nini.
Okay mkuu,nchi kwa sasa HAINA PESA, ila tuna mapesa ya kununua V8s kwa CEOs kwa well connected guy's, nani owner wa UDA na Nyati cross border transporters?
 
Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.

Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................

Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Hakuna wilaya isiyokuwa ya kipekee Tanzania.
 
Back
Top Bottom