Tukutane hapa wenye magovi

Tukutane hapa wenye magovi

kutotahiri ndiyo kukosa utii kwa Mungu. Hata Abrahamu baba wa imani aliamriwa atahiri ndipo akawa bestie kindakindaki wa Mungu. Sipora, mke wa kwanza wa Musa alitahiri wanawe kwa jiwe kali-maana kipindi hicho kilikuwa kipindi cha mpito kutoka zama za mawe kwenda zama za chuma. Na alifanya hivyo kwa sababu Musa alijisahau kutotahiri wanawe kutokana na wingi wa shughuli. Mungu alitaka kuwaua, mke akashtuka akawakata magovi kwa jiwe....kuwa na govi si ufahari, ni chukizo.

Waisraeli walipofika tambarare za Moabu kabla ya kuvuka Mto Yordan kuanza kuteka Kanaani, na kabla Musa hajafa, Mungu alimwamuru Musa awatahiri wanaume wote waliozaliwa jangwani ili wasiingie nchi ya ahadi wakiwa wachafu kwa kuwa na magovi.
Kama kweli Mungu anachukizwa na govi asingetuumba nalo. Hizo story za vitabuni achana nazo
 
ASILIMIA 80 YA WANAUME ZAMBIA BOSTWANA HAWAJAHIRIWA.

MPKA SERIKALI INAWAFUATA NA KUPEWA ZAWADI YA KIROBA CHA UNGA ILI WATAHIRIWE WENGI

NILIKUWA NA KUTANA NA MADEMU NKIWABANDUA LAZMA WANIRUDIE ETI KISA MIMI MSAFI

TOHARA NI USAFI
 
Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana.
Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure.
Na sitaki mtoto wangu nimpeleke.
Akikua ataenda mwenyewe kwa uhuru wake. Nisihusishwe.
Ita jina lolote lakini sitoi
Subiri very soon mtageuziwa jina, mtatajwa kutokea Kanda fulani hapa nchini
 
Kama kweli Mungu anachukizwa na govi asingetuumba nalo. Hizo story za vitabuni achana nazo
umejuaje habari za Mungu ikiwa si kutoka katika vitabu hivyo hivyo unavyobeza?
 
Wanaume wenye magovinda wanakuwaga wachafu Sana Kwenye naniliu zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom