Tukutane hapa wenye magovi

Tukutane hapa wenye magovi

lyaguchunya

Member
Joined
Aug 18, 2020
Posts
56
Reaction score
415
Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana.
Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure.
Na sitaki mtoto wangu nimpeleke.
Akikua ataenda mwenyewe kwa uhuru wake. Nisihusishwe.
Ita jina lolote lakini sitoi
 
Ila watu mmevurugwa 😂😂
 
Umenikumbusha udogo unalivuta nyuma mida wa kuoga kuficha aibu ya wenzako kua umakatwa.

Vipi wanawake unawachakata wanasema kuhusu govi

Vipi wanakula pipi. Wanasemaje kuhusu kula pipi na ganda lake kmmmmmmm[emoji23]
Haiwezekani pipi kuliwa na ganda lake 🤣🤣🤣
Kumbe wapo kweli dah mtihani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom