Tukutane hapa wenye magovi

Tukutane hapa wenye magovi

Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana.
Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure.
Na sitaki mtoto wangu nimpeleke.
Akikua ataenda mwenyewe kwa uhuru wake. Nisihusishwe.
Ita jina lolote lakini sitoi
Hata mimi kwa kweli siwezi kukata govi langu. Mi ndo najua faida yake kwenye mambo yetu. Kikubwa usafi tu
 
Iwafikie hawa
Mshikaji wangu Bantu Lady, dada yangu To yeye, mamdogo Amehlo, shemela wangu Evelyn Salt, kaka Peterrabbit, ndugu Glenn, Jirani binti kiziwi
Onyo ambalo wataalamu huwapa wagonjwa ni kutoshiriki tendo la ndoa ndani ya wiki nne au tano baada ya tohara ili kuepuka maumivu na matatizo ya kuchelewa kupona.

Ni kupoteza muda wa kuchakata.
84b21290-a0b9-11ed-8f65-71bfa0525ce3.jpg
19bfb5c0-a0c1-11ed-8f65-71bfa0525ce3.jpg
 
Aisee nimecheka Sana.

Mkuu, govi linakuwa na unga mwingi Sana,linaleta kinyaa Sana. Alafu ni rahisi kuambukizwa magonjwa. Ondoa govi Hilo.
Unajua Mungu aliumba huo unga na kusudi lake.
Kabla dhambi haijahamia kwenye ngono ilikuwa hivi.
Mwanamke na mwanaume watakuwa waaminifu.
Govi lilitengenezewa hoja ya uchafu na wazinzi tu.
Yale mafuta meupe Ni kilainisho asili ambacho kipo pande zote.
Mwanamke anacho.
Mkikutana hakuna kuumizana ni mtelezo Safi.
Tumwogope Mungu.
Najua mtakuja na mistari kibao.
Tukubaliane kuwa hizo zilikuwa tamaduni za huko kwa kipindi kile.
 
Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana.
Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure.
Na sitaki mtoto wangu nimpeleke.
Akikua ataenda mwenyewe kwa uhuru wake. Nisihusishwe.
Ita jina lolote lakini sitoi
JamiiForums tawi la Facebook
 
Hahahha.. Mkono wa sweta
 
Moja ya mtu aliyenifanya niipende Philosophy na Psychology (He was my mentor) alikua msukuma fulani mlemavu wa mguu mmoja(polio).
Kipindi hicho alikua na 35yrs ila nilishangaa siku moja kumuona na mkono wa sweta. Ukizingatia ni mtu mwenye uelewa wa mambo mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom