Tukutane hapa wenye magovi

Tukutane hapa wenye magovi

Hehehe"mkono wa sweta" ni noma.
Nenda kalitoe hapo saiz wewe sio mwanaume ulie kamilika hahaha.
Ukipata gono tu govi litalika kichwa cha dushe kitabaki kama mfutio wa penseli ulio isha.
Acha kutishana. Kama una ushahidi ebu nione. Hayo Ni Mambo ya kufikirika.
Govi ni la Mungu
Afu gono Ni la shetani.
Pole
 
Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana.
Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure.
Na sitaki mtoto wangu nimpeleke.
Akikua ataenda mwenyewe kwa uhuru wake. Nisihusishwe.
Ita jina lolote lakini sitoi


Woiiiiiii

Mungu hajasalitiwa buana, kakate hiyo kitu acha woga


MWANZO 17:14
Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu.

MWANZO 17:12
Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.


LUKA 2:21
Hata zilipotumia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba. Kisha, zilipotimia siku za kutakasika kwao, kama ilivyo torati ya Musa walikwenda naye hata Yerusalemu, wamweke kwa Bwana, (kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, Kila mtoto mwanamume aliye kifungua mimba ya mamaye na aitwe mtakatifu kwa Bwana)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom