Tukutane hapa wenye magovi

Tukutane hapa wenye magovi

Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana.
Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure.
Na sitaki mtoto wangu nimpeleke.
Akikua ataenda mwenyewe kwa uhuru wake. Nisihusishwe.
Ita jina lolote lakini sitoi
Wewe fanya Vile Inafaa Mkuu....Life si ni yako...
 
Tutoe ccm hapo tafadhali
Wenye magov wote ni ccm lakini sio Kwamba ccm wote wana magovi NA PIA watu wote wasiokua na akili timamu ni ccm lakini sio kwamba ccm wote hawana akili timamu...... MKUU MBONA HIYO CONCEPT INAHITAJI AKILI NDOGO SANA KUELEWA.

HIVI KIPINDI KILE WAKATI TUNASOMA PHILOSOPHY PALE NKURUMAH WW MWENZETU ULIKUAGA WAPI.
 
Kwa haraka haraka huyu jamaa nime note vitu viwili toka kwake, Kwa kuwa ana govi basi bila shaka msukuma halafu kwa kuwa hana akili timamu basi yeye ni ccm damu
Babu na Bibi yako mbona hawakuwa na noma wakamzaa hadi Baba yako kwa govi hilohilo.
Acha kumkufuru Mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom