Tukutane hapa wenye magovi

Tukutane hapa wenye magovi

Screenshot_20230517-183121.png
 
Hiyo ni NCCN, national comprehensive cancer network, soma hapo kwenye risk factors, Kuna lack of neonatal circumcision (kutotahiri watoto). anaposema SCC ni squamous cell carcinoma (ni aina ya cancer) nisielezee sana nitakuchanganya.

Pia kwa wanawake, usikubali kulala na mwenye govi bila kinga, kuna hatari ya kuambukizwa saratani ya shingo ya kizazi (cervical cancer), yeye mwanaume anatunza virusi kwenye govi, havimshambulii yeye, vinamshambulia mwanamke atakayelala naye.
 
Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana.
Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure.
Na sitaki mtoto wangu nimpeleke.
Akikua ataenda mwenyewe kwa uhuru wake. Nisihusishwe.
Ita jina lolote lakini sitoi
images.jpeg
images (1).jpeg
 
yaa... yaaa .... yaaaayaa
Ngriiiii ngriiiiii

Kama sio muhenga na mpenzi wa Mithun chaklabot pita mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom