mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
Ugali kwa mlenda pori wacha tu!
ah kumbe nawe ni mwalafyale IKIPOME loh ukila lazima uwe na mswaki wa mti kinavyoshika kwenye meno na kwenye koo ,kinanikumbusha enzi za akina baba zetu enzi hizo anapoenda shule bording Masukulu au Mpunguso mama zao(bibi zetu) walikuwa wanawatayarishia IKIPOME hiyo ndio ilikuwa menu ya kula akiwa safarini kwenda shule(kwa miguu) na pia ndio kilikuwa cha kulia Mbalaga akifika boardingugali unga wa kikobhole na nguniani iliyotiwa kipome hapo mimi mguu juu
dah,mkubwa!!kabila gani hii?nimeipendajamani mambo yote upate mtindi kwa soda ya bariiiiiidi.
Kitu cha ngararumo na ngera safi kabisa
ukinifanyia ngararimu na maziwa ya mtindi ni kwereh
imbalaga(ndizi) na ikisambula(kisamvu )au ilyanyungu(mboga ya maboga) unapokula lazima uhakikishe una mkombe wa maji ya kunywa wa lita 2 ,kwani imbalaga hizo zaidi ya chumvi na maji haziwekwi kitu chochote zinakuwa ngumu kama nondo du kwa hiyo zinakaba koo, kabali za watoto wa kwa mtogole ni cha mtoto kwa imbalaga zinavyokaba koo
juice ya mwarobaini??
hiyo haina mpinzani.