TNA
Member
- Aug 24, 2011
- 18
- 3
Mboga ya Kibondei......nyanya chungu, bamia,nyanya, kitunguu,nazi nk
Hivi ni kiipwi au khipwi?
Mboga ya Kibondei......nyanya chungu, bamia,nyanya, kitunguu,nazi nk
Makande ya uwele na juisi ya mwarobaini. Lakini hata uji wa maganda ya maparachichi huwa naupenda sana.
Imbalaga(ndizi) na Ikisambula(kisamvu )au Ilyanyungu(mboga ya maboga) unapokula lazima uhakikishe una mkombe wa maji ya kunywa wa lita 2 ,kwani imbalaga hizo zaidi ya chumvi na maji haziwekwi kitu chochote zinakuwa ngumu kama nondo du kwa hiyo zinakaba koo, kabali za watoto wa Kwa Mtogole ni cha mtoto kwa imbalaga zinavyokaba koo
Kitu cha wapi hicho?
Kitu cha ngararumo na ngera safi kabisa
jamani mambo yote upate mtindi kwa soda ya bariiiiiidi.
kha sasa wewe sijui ni chakula cha wapi hichojamani mambo yote upate mtindi kwa soda ya bariiiiiidi.
asili yake iringa hiyo mkuu!msosi huu lazima uukubali.asili yake?